Lyrics Happy Birthday - Harmonize
Kwanza
nina
furaha
nitaimba
na
kucheza
(na
kucheza)
Washa
mishumaa
weka
keki
juu
ya
meza
(juu
ya
meza)
Oh
ila
usinicheke
nimekuletea
zawadi
kidogo
nilichobarikiwa
Aki
mwana
mpweke
aje
na
dumu
la
maji
asije
kakumwagia
Ah
na
kapicha
kako
nitakoposti
wasiokupenda
itawacosti
Ah
leo
siku
yako
nishajikoki
tuko
rafiki
zako
tunasema
Happy
birthday
Happy
birthday
to
you
Happy
birthday
to
you
Happy
birthday
to
you
Happy
birthday
to
you
Ah
sinywagi
pombe
leo
ntalewa
niwape
shonde
waliochelewa
Zikinipanda
monde
nitapepewa
ah
pembe
la
ng′ombe
au
malewa
Ila
usiforget
kusema
asante
baba
na
mama
walokukuza
ukakua
Tunakupa
na
keki
kwa
wema
akulinde
baba
maulana
twakuombea
na
dua
Ah
na
kapicha
kako
nitakoposti
wasiokupenda
itawacosti
Ah
leo
siku
yako
nishajikoki
tuko
rafiki
zako
tunasema
Happy
birthday
Happy
birthday
to
you
Happy
birthday
to
you
Happy
birthday
to
you
Happy
birthday
to
you
Kata
keki
kata
(kata)
oh
kata
(kata)
kata
(kata)
kata
unilishe
Keki
ya
jina
lako
(kata)
walishe
na
wenzako
(Kata)
tupo
kwa
ajili
yako
(kata)
Kata
unilishe
Oh
basi
kata
(kata)
oh
kata
(kata)
Kata
nipone
(kata)
kata
(kata
unilishe)
Kata,
Kata,
Kata,
Kata
unilishe
Ah
na
kapicha
kako
nitakoposti
Attention! Feel free to leave feedback.