Lyrics Bakhresa - Harmonize
Bounty
Bakharesa
Bakhre,
bakhre
Bakhre,
bakhre
Bakhre,
Bakhresa
Yeah
Konde
boy
call
me
number
one,
number
one
Bila
shaka
haujawahi
kumuona
hata
kwa
sura
Boss
wa
karibia
unacho
kula
Huwezi
muona
kwa
Tv
ata
kwa
dharula
Ingawa
yeye
ndo
nwenye
king'amuzi
Hana
time
na
mitandao
yani
kuuza
sura
Yupe
buzy
na
mafao
pesa
mlungula
Angetaka
kupita
nao
wote
angeshakula
Hana
huo
muda
wa
makuziii
Masikini
anawapa
mitaji
wagawane
Na
watu
wazima
Huwezi
muona
kwenye
picha
na
wajane
Au
mayatima
Hawezi
kujisifia
nyumba
Wala
magari
range
na
bimaa
Riziki
anagawa
muumba
Jalajalali
kikubwa
uzima
Sura
yake
kwako
lazima
itakuwa
ngeni
Uwenda
ushapishana
nae
kwenye
foleni
Maana
sio
mtu
wa
kupop
mashampeni
Yeye
sio
limbukeni
yeah
Mfano
wa
mtu
mwenye
pesa
Ooh
pesa
aaaah
We
mtazame
bakhresa
(bakhresa)
Mfano
wa
mtu
mwenye
pesa
aah
Ooh
pesa
aaaah
We
mtazame
bakhresa
(bakhresa)
I
wanna
smoke
some
weed
uuh
uuh
uuh
Uuh
uuh
uuh,
uuh
uuh
uuh
Uuh
uuh
uuh,
uuh
uuh
uuh
Uuuh
uuh
uh,
uuh
uuh
uh
Bakhresa
uuh,
bakhresa
uuh
aah
Bakhresa
hajawahi
kugombea
cheo
Au
kujisifu
na
maendeleo
Hawezi
kushika
pesa
akazigawa
Hivi
ushasikia
bakhresa
ana
chawa
Akina
tajiri
mo
kipenzi
cha
wana
samba
aah
aah
Tunawaona
insta
wakicheza
nakuimba
aah
aah
Ghalibu
boss
wa
yanga
na
GSM
Yeye
ana
utaratibu
Wa
kwenda
kwa
mkapa
kucheki
game
Sio
mbaya
ila
uwezi
kumuona
bakhresa
Akijisifu
na
pesa
Na
majigambo
rumbesa
Bakhresa
aah
aah
Natanzania
pekee
aliyee
juu
ya
bakhresa
Ni
raisi
wa
jamuhuri
maana
yeye
ni
taasisi
Ooh
and
guess
what
mama
yuko
peace
Na
ukimuona
ametokea
Akiongea
ni
kwaajili
yetu
sisi
Wakati
unajigamba
wa
mbezi
beach
Bakhresa
ana
mashamba
huko
kijichi
Ebu
acha
ushamba
pesa
haijifichi
Eti
I
gat
too
much
money
am
so
rich
Mfano
wa
mtu
mwenye
pesa
Ooh
pesa
aaaah
We
mtazame
bakhresa
(bakhresa)
Mfano
wa
mtu
mwenye
pesa
Ooh
pesa
aaaah
We
mtazame
bakhresa
(bakhresa)
I
wanna
smoke
some
weed
uuh
uuh
uuh
(yao
yao)
Tell
them
boys
we
got
this
new
money,
na
we
leave
low
key
baby
The
mix
killer
(Jeshi)
Attention! Feel free to leave feedback.