Harmonize - Atarudi Lyrics

Lyrics Atarudi - Harmonize



Mmmmh...
Na yeye ni mwanadamu dunia tunapita Aaaah
Kama kupata kwa zamu (Oooh Zamu) Yangu Itafika.
Siwezi Kaa na Damu kesho wataja nizika ila
Ningependa uFahamu Haya Mateso ulonipa.Mmmh
Tena Mwambieni Aloninyima mimi ndo Kampa Yeye Eeeeh.
Kupata Foleni Nasubiri Yangu mimi Ataichelewe eeeh...
Sina Furaha Naigiza ilimradi Watoto wasijihisi Vibaya.
Aaaah
Huyu Mdogo Anauliza eti daddy mama ameihama Kaya????
Chakujibu Sina Nabaki Tu kusema
Aatarudi (Atarudi Mama)|
Atarudi (Anawapenda Sana). | ×2
Aatarudi (Atawaletea zawadi) Atarudi |
Siwezi Sema Sijui Tatizo Hali yangu Duni imefanya
Ukanikimbia... Ni vyema Ungefanya maigizo. Mara kumi Usingenizalia
Ingali Mapenzi Pekee ningesema Nichangamoto
Nijifunze Ameniacha Mpwekeee Na watoto Niwatunze.
Eee eh
Ila siwezi Mlaumu... Huenda Yupo Sawa.
Aaaah
Kipato Changu Kigumu Kutwa bumunda na Kahawa...
Ila mwambieni alieninyima Mimi Ndo kampa Yeye...
Eee eh
Kupata Foreni Nasubiri Yangu Mimi itaichelewe
Eee eh
Oooohhh
Sina Furaha Naigiza ilimradi Watoto wasijihisi Vibaya.
Huyu Mdogo Anauliza eti daddy mama ameihama Kaya????
Chakujibu Sina Nabaki Tu kusema
Aatarudi (Atarudi Mama)|
Atarudi (Anawapenda Sana). | ×2
Aatarudi (Atawaletea zawadi) Atarudi
Ohhhh My God Its Person...



Writer(s): Rajabu Abdukahal Ibrahim


Harmonize - Atarudi
Album Atarudi
date of release
20-08-2018




Attention! Feel free to leave feedback.