Harmonize - Niteke Lyrics

Lyrics Niteke - Harmonize




Chi!
Konde Boy...
He he he he
Genius (swagga de tha recipes)
I want to keep you
I no go let you go
Nishafunga na zipu
Kwengine nishasema no
Acha nikusifu
Uzuri wa nyumba choo
Na ulivyo nadhifu
Sipati vidonda vya koo
If you leave me I go die
I go die my baby
Na ukinipenda nitajidai
Nitajidai my baby
Ooh ohh oh
Nakoma na zako kachiri
Kachirii ukibinuka binuka
Eeeh eeeeh
Kivumbi na jasho wawili
Wawili kwenye mashuka mashuka
Asa baby niteke
Uniteke, unitekenye
Nicheke kama mtoto
Uniteke, aah baby unitekenye
Ah baby hapo ndo penyewe
Uniteke unitekenye
Ninenepe kama mpoto
Uneteke (nooh), unitekenye
Mmmnh
Macho yake nungunungu
Akinitazama
Nami nageuka nungunungu
Miba inasimama
Macho yake nungunungu
Akinitazama
Nami nageuka nungunungu
Miba inasimama
Ehh fanya wazi unachotaka
Zidisha kunipenda
Ila kuna paparazi na basata
Tusichapane madenda
Ooh ohh oh
Nakoma za zako kachiri
Kachirii ukibinuka binuka
Eeeh eeeeh
Kivumbi na jasho wawili
Wawili kwenye mashuka mashuka
Asa baby niteke
Uniteke, unitekenye
Nicheke kama mtoto
Uniteke, ah baby nitekenye
Aaah baby hapo ndo penyewe
Uniteke unitekenye
Ninenepe kama mpoto
Uniteke (nooh) unitekenye
Asa baby mi nnataka nikukande
(Pindaa, pinda mgongo pinda)
Yani pinda nikukande
(Pindaa, pinda mgongo pinda)
Unishikilie nami nikugande
(Pindaa, pinda mgongo pinda)
Ebu nipe nikukande
(Pindaa, pinda mgongo pinda)
Yanii nikukande...
Chi!



Writer(s): Rajabu Abdukahal Ibrahim


Harmonize - Niteke
Album Niteke
date of release
16-09-2020

1 Niteke




Attention! Feel free to leave feedback.