Lyrics Vibaya - Harmonize
B
boy,
mm
Oh-wah,
ah,
oh-wah
Oh-wah,
ah,
oh-wah
Oh-woah-woah-oh
Alisema
mapenzi
vita
Mi
na
yeye
tuungane
kuwateketeza
maadui,
eh,
maadui
Badala
ya
miezi
kupita,
aah
Vikombe
lazima
vigongane
Na
sio
kwamba
hayajui,
eh,
hayajui
Pigo
za
kusema
vya
ndani
mi
sinaga
hizo
Ama
kumtafuta
mchawi
ni
nani
ni
kuongeza
tatizo
Tulia
hapa
tutakuwa
wa
ndani
hadi
paradiso
Na
tukatangaza
kweupe
mambo
hadharani
Na
tattoo
ndo
hizo,
oh-oh-oh-oh-oh
Sitaki
kuamini
kwamba
Lile
kapu
la
mabaya
yangu
Halina
hata
machache
mema,
oh,
mema
Nitakuwa
mshamba
Nikiyasema
yote
mabaya
ya
mwenzangu
Ili
nionekane
mwema
Japo
mapenzi
yanaumiza
I
wish
tusisemane
(vibaya)
oh-le-le-le
(vibaya)
Ili
kesho
tusizikane
(vibaya)
oh-no-no
(vibaya)
Usiwasikilize
wapambe
(vibaya)
Wanachotaka
maneno
(vibaya)
ili
kesho
watuchambe
(vibaya)
oh-oh-oh-oh
(vibaya)
Oh-wah,
ah,
oh-wah
Oh-wah,
ah,
oh-wah
Oh-woah-woah-oh,
mm-mm
Nitunzie
siri
zangu
Nami
nitunze
zako
za
miaka
rudi
nenda
Kuna
leo
na
kesho,
mm-mm-mm
Hata
maadui
zangu
walikuwaga
maadui
zako
Hawawezi
kukupenda
Wanakuvuta
uwe
kichekesho,
mm-mm
Maana
hata
ukisambaza
Picha
zangu
za
aibu
ni
sawa
Hata
hunikomoi
Na
hata
utupu
wako
ukiutandaza
Kwa
watu
wangu
wa
karibu
sio
dawa,
hujengi
hubomoi,
eh-eh-eh-eh-eh
Mama
kuna
kamchezo
Mtunze
mtoto
wako
Na
watu
wenye
majungu,
majungu
Nilikubali
kuviacha
vya
dezo
Sababu
ya
mapenzi
yako
Nikaachana
na
mzungu,
mzungu
Maneno
yao
utadhani
wanakutetea
Kumbe
tudhalilishane
wanachongojea
Usiwape
faida
wambea
Na
ni
kama
kawaida
nakuombea
Sitaki
kuamini
kwamba
Lile
kapu
la
mabaya
yangu
Halina
hata
machache
mema,
oh,
mema
Nitakuwa
mshamba
Nikiyasema
yote
mabaya
ya
mwenzangu
Ili
nionekane
mwema
Japo
mapenzi
yanaumiza
I
wish
tusisemane
(vibaya)
oh-le-le-le
(vibaya)
Ili
kesho
tusizikane
(vibaya)
oh-no-no
(vibaya)
Usiwasikilize
wapambe
(vibaya)
Wanachotaka
maneno
(vibaya)
ili
kesho
watuchambe
(vibaya)
oh-oh-oh-oh
(vibaya)
Oh-wah,
ah,
oh-wah
Oh-wah,
ah,
oh-wah
Oh-woah-woah-oh
Oh-oh-oh-oh
Konde
Music
Worldwide
B
Boy,
thank
you
for
the
sound
Sound,
sound,
sound
Attention! Feel free to leave feedback.