Lyrics Hayakuhusu - Ibraah
Ukitaka
kulea
wakati
unalelewa
Lazima
uvunjie
watu
wazima
heshima
Punguza
mazoea
unajifanya
unacare
wakati
umemtelekeza
faima
Achana
na
waliokutangulia
Wakati
kesho
yako
hujui
utakapoangukia
Unaweza
wasafi
ukatimuliwa
na
konde
gang
ukaja
kusainiwa
Unashindana
na
mwanajeshi
ambae
vita
aliianza
baba
yako
(na
awezi)
Msalumie
kipara
ndezi
mwambie
hata
akikesha
kwa
sangoma
hatuami
mbezi
Nyimbo
kaimbiwa
kajala
Kauloka
nakupitapita
acha
papara
Naskia
unachimba
mikwala
Hauna
chochot
huendebuma
chakula
Mapen
Attention! Feel free to leave feedback.