Lyrics Nimpende - Ibraah
Mmmh
mmh
aah
ah
(Wambaga
Made
it)
Eh
kutwa
namwomba
Mungu
anijalie
Maumivu
mbali
yanipitie
Maana
hayaeleweki
haya,
hayasomeki
mapenzi
Nami
nimpate
wa
kwangu
atulie
Mwenyewe
tu
nijisevie
Maana
hayaeleweki
haya,
yamejaa
u-fake
mapenzi
Na
yasiwe
ya
kupostiana,
na
vikopakopa
kwa
mitandao
Tena
n′choresha,
tena
nogesha
Chonde
asiwe
ya
kufokafoka,
mwisho
yakaniacha
na
stress
kibao
Adeke
na
kun'chekesha,
mvua
ikinyesha
yeh,
eeh
Asije
ninyanyapaa,
awe
mkweli
tu
asijeongopa
Mwenzenu
kuteswa
naogopa
aah
Asiwe
na
mipasho
kama
Khadija
Koppa
Tupendane,
wasimteke
Vibopa
Yasiwe
ya
Konde
na
Wolper
ah,
kila
siku
michambo
Nataka
nimpende,
anipende
nami
nimpende
Anipende
yaani
nimpende
eeh
Nataka
nimpende
eh,
mwenzenu
nataka
nimpende
Anipende,
nami
nimpende,
anipende
yaani
nimpende,
anipende
eeh
Anionyeshe
upendo
mpaka
nijisahau
Yeah
eh,
mmh
lololoh
mmh
Mi
nakuna
kuna,
mi
nakuna
kuna
ooh
Mmmh
mmh
Na
asiwe
wa
kususasusa
hata
nikimwambia
twende
tukaoge
Asiseme
nikaoge
mwenyewe,
mwenyewe
Na
yangu
asijeipangusa
akili
yangu,
mwisho
aikoroge
Awe
Harmo
nitakacho
nipewe,
nipewe
mmh
Awe
yangu
medali
aah
aah
Kwa
kila
hali
na
mali
Yaani
ntakesha
kwa
Mungu
nitasali
Aah
mabaya
yasikupate,
amwepushe
Na
kitandani
asiwe
bonge,
atamaliza
godoro
Atulie,
asimalize
chochoro
Nisimfume,
usiku
wa
kiza
totoro
Yeh
eeh
tena
asije
ninyanyapaa
Awe
mkweli
tu
asijeongopa
Mwenzenu
kuteswa
naogopa
aah
Asiwe
na
mipasho
kama
Khadija
Kopa
Tupendane
ka
Rika
na
Choppa
Yasiwe
ya
Konde
na
Wolper
ah,
kila
siku
michambo
Nataka
nimpende,
anipende
nami
nimpende
Anipende
yaani
nimpende
eeh
Nataka
nimupende
eh,
mwenzenu
nataka
nimpende
Anipende,
nami
nimpende,
anipende
yaani
nimpende,
anipende
eeh
Anionyeshe
upendo
mpaka
nijisahau
Chinga,
Konde
Music
Worldwide
Mmh
eh
mmh
eh
(The
Mix,
The
Mix)
Chinga,
Konde
Music
Worldwide
Mmmh
mmh
Attention! Feel free to leave feedback.