Lyrics Nitachelewa - Ibraah
Aaah
uuh
ooh
oh,
ooh
chinga
Ah
ah
aaaah
ah
Aaah
uuh
ooh
oh,
ah
ah
ah
Yeah
sijui
hata
nifanyeje
Sijui
hata
nifanye
nini
me
Maana
hata
siamini
Hmn
no
ho
Nilikula
kiapo
nikungoje
Ila
bado
haiingi
akilini
Maana
nishakula
ya
mini
yawe
Eh
kwa
mashogazo
ulichota
mafumbo
Ngoja
ngoja
inaniumiza
tumbo
Masikini
umeshafata
mkumbo,
yaani
umesepa
Umeziacha
zimejaza
na
rundoo
Na
una
ponda
yangu
fupi
myundo
Eti
unaning′ong'a,
tajiri
wa
uvundo
Ndio
chanzo
umeniteka,
aah
Na
naimani
nitajijengea
Nisikuwaze
kwa
ubaya
kwa
ubaya
Maana
before
nlitimia
Leo
uwe
mfano
wa
bandama
umebanduka
Labda
yango
nyota
imefifia
wamekuteka
we
ah
we
ah
Simanzi
imenielemea
shilingi
imepinduka
Kama
usiporudi
(nitachelewaa)
Oh
oh
(kupona
nitachelewa)
Ah
Nitachelewam
mama
(nitachelewa)
Hmm
Hmm
(kupona
nitachelewa)
Kupona
maradhi
ya
moyo
(nitachelewaa)
Yeah
(kupona
Nitachelewa)
Kama
sio
wewe
nani
tena
(nitachelewaa)
Oh
no
(kupona
nitachelewa)
Nitachelewa
mama
Ah
ah
aah,
hmmm
yeah
Oh
oh
oh,
yeah
Mi
najaribu
kujisahaulisha
ila
moyo
unagoma,
unagoma
Hasa
nikikumba
zako
methali
na
nahau
Japo
unanionyesha
dharau
Moyo
hautaki
komaa,
kukoma
Mwingine
sitaki
penda
na
usidhani
ka
nitakusahau
Oh
maana
vita
penzi
lako
ntapigana
Nikiamini
utarudi
we
changama
Maana
siko
sawa
ujue,
mkuki
kwa
nguruwe
Kwa
binadamu
mchungu
(wanaogombana)
Siku
zote
ndio
wananopatana
Ama
unapenda
mi
ninavolalama
Sijui
nilipokosa
ujue
Na
malengo
ujue
Mimi
najua
wewe
langu
fungu
Na
naimani
nitajijengea
Nisikuwaze
kwa
ubaya
kwa
ubaya
Maana
before
nlitimia
Leo
uwe
mfano
wa
bandama
umebanduka
Labda
yango
nyota
imefifia
wamekuteka
we
ah
we
ah
Simanzi
imenielemea
shilingi
imepinduka
Kama
usiporudi
(nitachelewaa)
Oh
oh
(kupona
nitachelewa)
Ah
Nitachelewam
mama
(nitachelewa)
Hmm
Hmm
(kupona
nitachelewa)
Kupona
maradhi
ya
moyo
(nitachelewaa)
Yeah
(kupona
nitachelewa)
Kama
sio
wewe
nani
tena
(nitachelewaa)
Oh
no
(kupona
nitachelewa)
Nitachelewa
mama
Chinga,
Konde
music
world
wide
Yeah
yeah
yeah
yeah
yeah
![Ibraah - Nitachelewa - Single](https://pic.Lyrhub.com/img/5/6/r/y/jgwas9yr65.jpg)
Attention! Feel free to leave feedback.