Lyrics One Night Stand (feat. Harmonize) - Ibraah
Lalalala
Aiyete
iyeee
Konde
Boy
Mi
baba
yangu
sio
Magufuli
Ama
Kenyatta
wa
Kenya
Nikudanganye
Mugabe
Ni
uongo
sio
sawa
Hata
nyota
yangu
mi
ni
ya
sufuri
Sio
wa
kupata
tena
Kula
yangu
tu
mazabe
Sina
mchongo
kama
chawa
What
I
believe,
what
I
believe
No
money
no
love
Yupo
ulompaga
moyo
Akaugawa
vipande
Nimeumbwa
na
wivu
Mi
na
wivu
moyo
wangu
sio
mbovu
Hakuwaga
mchoyo
Kutwa
miguru
upande
Kwanza
mapenzi
yamezaliwa
Bombay
Masong
kwenye
majani
(Ayee
eh)
Utaweza
mwana
wa
Mondy
Amemshinda
sharukani
(Ayee
eh)
Agiza
nyama
na
pombe
Ah
tulewe
twende
chumbani
(Ayee
eh)
Nikupe
mhogo
wa
jang'ombe
Kisigino
kiwe
begani
Baby
all
I
need
mi
siwezagi
kuzunguka
One
night,
one
night,
one
night
stand
Yaani
nipe
nikupe
kabla
hakujapambazuka
One
night,
one
night,
one
night
stand
(Konde
Boy)
Siku
hizi
kupenda
penda
kumepitwa
na
muda
One
night,
one
night,
one
night
stand
Yaani
akikupa
kula
akisusa
mwingine
atakuja
One
night,
one
night,
one
night
stand
Usijidanganye
umemkamata
Mtoto
wa
mjini
Magoli
mengi
Samata
Hata
uzame
chumvini
Ila
kuna
wazee
wa
Migodi
Hawagongagi
hodi
Ujifanye
mjanja
unachunga
Ila
ndo
wanalipa
kodi
Utadanganya
anaenda
jogging
Kumbe
yuko
lodging
Mwenzako
anajaza
mimba
Uko
gym
unajaza
body
What
I
believe,
what
I
believe
No
money
no
love
Yupo
ulompaga
moyo
Akaugawa
vipande
Nimeumbwa
na
wivu
Mi
na
wivu
moyo
wangu
sio
mbovu
Hakuwaga
mchoyo
Ah,
kutwa
miguru
upande
Kwanza
mapenzi
yamezaliwa
Bombay
Masonge
kwenye
majani
(Ayee
eh)
Utaweza
mwana
wa
Mondy
Amemshinda
sharukani
(Ayee
eh)
Sio
unakunywa
tu
mapombe
Unajua
anayelipa
nani?
(Ayee
eh)
Twende
nkakupe
guu
la
ng'ombe
Ukaugulie
nyumbani
chii!
Baby
all
I
need
mi
siwezagi
kuzunguka
One
night,
one
night,
one
night
stand
Yaani
nipe
nikupe
kabla
hakujapambazuka
One
night,
one
night,
one
night
stand
Siku
hizi
kupenda
penda
kumepitwa
na
muda
One
night,
one
night,
one
night
stand
Yaani
akikupa
kula
akisusa
mwingine
atakuja
One
night,
one
night,
one
night
stand
Asa
beiby
nipe
(Nipe
nikupe)
Acha
za
kung'ata
makucha
(Nipe
nikupe)
Mara
unapandisha
unashusha
(Nipe
nikupe)
Mida
inakwenda
(Nipe
nikupe,
tumalizane
leo
leo)
Eh
mbuzi
kafa
kwa
bucha
(Nipe
nikupe)
Mbona
saa
unayeyusha
(Nipe
nikupe)
Ukichelewa
nitasusa
(Nipe
nikupe)
Hebu
sogea
kwa
chamber
(Nipe
nikupe,
tumalizane
leo
leo)
Attention! Feel free to leave feedback.