Iphoolish - Wera Lyrics

Lyrics Wera - Iphoolish




Urban film baby
Una stori mingi kanyagia
Staki tu kuconverse Im good
To the ball cheki Nishaconverse
Kariamiti nauza bars I gave a
Coffee to annan get yourself
A gun am taking you out of demand
Nadu biz jicho nyanya flow yako
Mi nakusanya punch lines
Kazi kuwa piga blows kuwakanda
Nimejipin nimejipanga nimekuja
Kuwanyima raha ulinitusi silaha
Nilishaconfigure eeii
Nina flow ii ufanya dem askie kujimanga
Io beef eka kwa dera acha kujigamba
Nitaspit vitu top adi Nitakata kwa jam
On my way to trace but I think nika kuna jam
Naoverlap nakata navenye kilamtu Napata
Kuna vitu nilhata so lazima nitazipata
Nilikua nadunga bata but sai nataka jaiz
Don't stand on my way murder be the case
Oya oya buda niko wera hakuna haja kunikera
Kwa rap game mi mandela nilipata fans
Bila ata kuuza sera
Oya oya buda niko wera hakuna haja kunikera
Kwa rap game mi mandela nilipata fans
Bila ata kuuza sera
Ukichase after ass mi nachase after doo
Ukichase after us we unataka tu madondi
Kaa beat ni sick na ita team for a combi
I got a cruch buda nilinoki noti
Eee eee eee do you copy am the shit buda
Nisaidie chopi you my bro but imma take
The throne lokki as long as niko high
Itabidii mumehama kwa graph ya wakali
Niko on that one artist
Na kwenye streets ooh duu am the lawyer
As in nilileta balance na mashakky
Kitu swer wamelanin chocalate
Tangu bissouma muafrika eeii
Naoverlap nakata navenye kilamtu Napata
Kuna vitu nilhata so lazima nitazipata
Nilikua nadunga bata but sai nataka jaiz
Don't stand on my way murder be the case
Oya oya buda niko wera hakuna haja kunikera
Kwa rap game mi mandela nilipata fans
Bila ata kuuza sera
Oya oya buda niko wera hakuna haja kunikera
Kwa rap game mi mandela nilipata fans
Bila ata kuuza sera
Nasakasakasaka saka mi nasaka doo
Nasakasakasaka saka mi nasaka doo
Nasakasakasaka saka mi nasaka doo
Nasakasakasaka saka mi nasaka doo
Nataka hizi shillings, njommos
Shillings, njommos
Nataka hizi shillings, chibesa
Shillings, chibesa
Mi nataka izo shillings
Shillings shillings shillings
Nataka izo shillings
An adwaro pesa shillings
An adwaro pesa shillings
It's a one man army
Nimekuja kusaka money
Flow chafu yani itabidii umethamani
It's a one man army
Nimekuja kusaka money
Flow chafu yani itabidii umethamani
Oya oya buda niko wera hakuna haja kunikera
Kwa rap game mi mandela nilipata fans
Bila ata kuuza sera
Outro
Oyaa



Writer(s): Singleton


Iphoolish - Enigma
Album Enigma
date of release
29-03-2019



Attention! Feel free to leave feedback.