Iphoolish feat. Fathermoh, Harry Craze & Ssaru - Wapewe Lyrics

Lyrics Wapewe - Iphoolish , Ssaru , Fathermoh




Niko na kiburi na sjalipwa
Me huteka wasichana na sina lugha
Me hukatanga makali
Yaani katanga makali
Me hufikanga mahali tu ni masifa
Nasema Wapewe
Niko na kihafere quarter tonight burudishwa na makali
Wapewe
Tuchane majani
Lift me up kichwa ifike hewani
Nasema Wapewe
Niko na kihafere quarter tonight burudishwa na makali
Wapewe
Tuchane majani
Lift me up kichwa ifike hewani
At ease, alert
A snitch a rat
Dem yako kwa lap
Anadai nsifap
Gwethe hunifanya tu mie nsake denge
Sheshe shashamani nina kwa kibenje
Wapewe, me hukuanga tu sad before nilewe
Ngeus anadai me niwe high before nipewe
Shots above the head umeme
Mmh aya twende
Head shoulders knees and toes
Motto bado bros over
No reverse call nitakueka on hold
Underage ah ah men oppose
IPHOOLISH, FATHERMOH, HARRY CRAZE & SSARU - WAPEWE
Nasema Wapewe
Niko na kihafere quarter tonight burudishwa na makali
Wapewe
Tuchane majani
Lift me up kichwa ifike hewani
Nasema Wapewe
Niko na kihafere quarter tonight burudishwa na makali
Wapewe
Tuchane majani
Lift me up kichwa ifike hewani
Nasema wapewe, malitre
Ongeza ongeza ai adisia shisha
Kitu imebaki ni kuongeza mzinga
Hapa ni mandazi kahawa kwa birika
Wacha mazigizaga mazigizaga
Huyo dem me nikimtaka nitampata
Na me sijali ata kama atanilapa
Namsuka namsuka alafu naichapa
Vile naimixi mixxi
Mother of emotions ashalia mafeelings
Kitunguu chuom za kutaste machingri
Wapewe wapewe wewe hadi wazirai
Nasema Wapewe
Niko na kihafere quarter tonight burudishwa na makali
Wapewe
Tuchane majani
Lift me up kichwa ifike hewani
Nasema Wapewe
Niko na kihafere quarter tonight burudishwa na makali
Wapewe
Tuchane majani
Lift me up kichwa ifike hewani
IPHOOLISH, FATHERMOH, HARRY CRAZE & SSARU - WAPEWE
Ni saa mbili kamili na leo ni lini, jumapili
Sherehe haibambi kejani so maskani tunawasili
Nko na washkaji mawakili mbogi yangu ni ya matajiri
Wakiuliza nataka nini siogopi mambo ya billi
Bana leta, gimmie some liquor
Gimmie gimmie gimmiesome chaser
Party imenoga hapa ni mziki na less pressure
Na zikianza kuripoti jua it only gets better
Ka pombe iko na vipekelee, usinipee
Ka itafanya mbogi inichekelee, usinipee
Leo nataka niskie fiti na nikiona
Uko na swara ntakutoka io ufala usiniletee
PRE HOOK
Wapewe
Niko na kiburi na sjalipwa
Me huteka wasichana na sina lugha
Me hukatanga makali
Yaani katanga makali
Me hufikanga mahali tu ni masifa
Nasema Wapewe
Niko na kihafere quarter tonight burudishwa na makali
Wapewe
Tuchane majani
Lift me up kichwa ifike hewani
Nasema Wapewe
Niko na kihafere quarter tonight burudishwa na makali
Wapewe
Tuchane majani
Lift me up kichwa ifike hewani



Writer(s): Mike Makori, Harry Otieno, Moses Otieno


Iphoolish feat. Fathermoh, Harry Craze & Ssaru - Wapewe (feat. Fathermoh, Harry Craze & Ssaru) - Single

1 Wapewe



Attention! Feel free to leave feedback.