Lyrics Wenge - Jay Melody
Vile
moyo
unapwita
najionea
sana
huruma
Nakaa
chini
nalia
najiangalia
sijitamani
Chini
na
chimba
Natafuta
mzizi
oh
Najitafutia
dawa
Usinga
kwa
hirizi
Najiita
mjinga
"J"
acha
utoto
Najiona
mjinga
wenge
kimtindo
Hata
tusiwe
wapenzi
mama
juwa
naumia
Umeondoa
mchuma
mama
ngazi
naachia
Leo
unaienjoy
upendo
mi
nachezewa
hisia
Penzi
langu
mama
natamani
irudi
zamani
Ah
baby
ayayaa
Oh
baby
oh
wo
wo
Inanichoma
ayayaa
Nakosa
amani
oh
wo
wo
Ah
baby
ayayaa
Inaniuma
oh
wo
wo
Najioneaga
tu
mabala
ayayaa
Ah
wo
wo
Oh
mapenzi
Ah
mama
oh
yeyeaah
Ah
mama
Basi
mapenzi
majani
ila
penzi
lako
gumu
kung′oka
Huwaga
nalia
sana
nikikumbuka
tulipo
toka
Ningepata
mwandani
ila
penzi
lako
linanyoosha
Usinifanyie
mimi
hivi
juwa
vibaya
Nitoe
kwa
ubaya,
sweet
mapenzi
ndo
haya
Basi
unisamehe
mwaya
mama
mapenzi
ndo
haya
Hata
tusiwe
wapenzi
mama
juwa
naumia
Umeondoa
mchuma
mama
ngazi
naachia
Leo
unaienjoy
upendo
mi
nachezewa
hisia
Penzi
langu
mama
natamani
irudi
zamani
Ah
baby
ayayaa
Oh
baby
oh
wo
wo
Inanichoma
ayayaa
Nakosa
amani
oh
wo
wo
Ah
baby
ayayaa
Inaniuma
oh
wo
wo
Najioneaga
tu
mabala
ayayaa
Ah
wo
wo
Oh
mapenzi
Oh
mapenzi
Oh
baby
Oooh
Attention! Feel free to leave feedback.