Jay Melody - Chini Lyrics

Lyrics Chini - Jay Melody

Mmmh...
OLaLah Mmmh Mmmh!
Ona Nakupenda sana usije nipanga kama Nyanya
Ukaniona tu mi sina mana ukanichezesha mchana mchana
Ila we nipeleke utakavyo maah mi siwezi kubisha kwa lolote
Kwa wengine acha nijidai kwako mjinga mie kolo
Unanichanganya ukipita na kimini uani umenitobolea kipini
Kati uwo ukiwa mwendo kama jini vimaswali baby unataka nini
Hivi Hivi kwa nini ukianzaga hunipaga nyama ulimi
Tena ulivyo mtundu kama nn unavyokatika Mpaka chini
Mpaka chini Mpaka chini
Unavyokatika iyo mizungu siamini ×2
Mmmh! Aaah mmh Mmmh!
Hayo malavidavi yamenikamata Leoo naongea
Na nilivyo sijiwezi naelekea kudata but I don't care...
Sina. wakunipa mapenzi zaidi yako mi sina
Mmh! Na ukijaga kuniacha mwenzako nta China
Mmh nakupenda kinyama kwel mi sina
Aah Nasinzia nikukuwaza ooh baby
Unanichanganya ukipita na kimini uani umenitobolea kipini
Kati uwo ukiwa mwendo kama jini vimaswali baby unataka nini
Hivi Hivi kwa nini ukianzaga hunipaga nyama ulimi
Tena ulivyo mtundu kama nn unavyokatika Mpaka chini
Mpaka chini Mpaka chini
Unavyokati uyo mizungu siamini ×2

Writer(s): Sharif Said Juma

Jay Melody - Chini - Single
Album Chini - Single
date of release
23-11-2020

1 Chini

Attention! Feel free to leave feedback.