Lyrics Tubonge - Jose Chameleone
Tubonge,
Chameleone
anaomba
tubonge
Mungu
Baba,
we
long
de
Gospel
time
now,
ooh
Lord...
Nina
wewe
wa
kweli,
katika
wote
ninaye
ni
wewe
Ana
nipenda
Chamili,
bila
kipimo
unanipenda
hakuna
kiasi
Ningependa
nikuone
nikupe,
vyote
vyangu,
nikupe
chochote
Unachotaka
chochote
upate,
lakini
sina
namna
ya
kukupata
Ungekua
na
fasi
una
ishi,
hata
ingekuwa
mbali
vipi
Ningekuja
nikuone
wewe,
ungekua
na
nambari
ya
simu
Facebook
au
Twitter,
lakini
hata
sura
yako
uli
ificha!
Njo...
Nimesubiri
sana
lini
tutaonana
Njo...
I
don't
know
what
to
do,
to
do,
I'm
waiting
for
you
Njo...
Nimesubiri
sana
lini
tutaonana...
Njo...
Rafiki
wa
kweli,
rafiki
mileli
kweli!
Rafiki
yangu
nimempa
sasa
tuuzo,
anaa
siri
zangu
nyingi
siogopi
mateso
Hao
wabishi
hawanitishi
na
mawazo,
ninae
ninae
Nkiwa
kwangu
sasa
misitaki
fujo,
nikiwa
naye
siogopi
the
devil
Paddy
man
ongeza
bass
na
treble,
nimtajje
kama
ninaimba
tangazo
Ungekua
na
fasi
una
ishi,
hata
ingekuwa
mbali
vipi
Ningekuja
nikuone
wewe,
ungekua
na
nambari
ya
simu
Facebook
au
Twitter,
lakini
hata
sura
yako
ulificha!
Njo...
Nimesubiri
sana
lini
tutaonana
Njo...
I
don't
know
what
to
do,
to
do,
I'm
waiting
for
you
Njo...
Nimesubiri
sana
lini
tutaonana...
Njo...
Rafiki
wa
kweli,
rafiki
mileli
kweli!
Tubonge,
Chameleone
anaomba
tubonge
Mungu
Baba,
we
long
de
Gospel
time
now,
ooh
Lord...
Njo
nikupe
chochote
unataka,
hatuja
kutana
mi
nakufata
Njo...
nikukaribishe
kwangu,
njo...
nikupikie
chakula
taamu
Naomba
nikuwoneshe
na
watoto
wangu,
njo...
nikuwoneshe
baba,
mama
wangu
Nikuwoneshe
marafiki
zangu,
nami
na
moyo
wangu
Ungekua
na
fasi
una
ishi,
hata
ingekuwa
mbali
vipi
Ningekuja
nikuone
wewe,
ungekua
na
nambari
ya
simu
Facebook
au
Twitter,
lakini
hata
sura
ulificha!
Njo...
Nimesubiri
sana
lini
tutaonana
Njo...
I
don't
know
what
to
do,
to
do,
I'm
waiting
for
you
Njo...
Nimesubiri
sana
lini
tutaonana...
Njo...
Rafiki
wa
kweli,
rafiki
mileli
kweli!
Njo...
Nimesubiri
sana
lini
tutaonana
Njo...
I
don't
know
what
to
do,
to
do,
I'm
waiting
for
you
Njo...
Nimesubiri
sana
lini
tutaonana...
Njo...
Rafiki
wa
kweli,
rafiki
mileli
kweli!
Attention! Feel free to leave feedback.