Jua Cali - Miaka - translation of the lyrics into German

Lyrics and German translation Jua Cali - Miaka




Miaka
Jahre
Miaka moja...
Ein Jahr...
Na-breathe hewa yangu ya kwanza nimezaliwa
Ich atme meine erste Luft, ich bin geboren
Miaka mbili...
Zwei Jahre...
Meno zinanitoka chakula nateremsha na maziwa
Meine Zähne kommen, ich schlucke Nahrung mit Milch
Miaka tatu...
Drei Jahre...
Niko poa kutembea mathee leo tunaenda wapi?
Ich kann gut laufen, Mama, wo gehen wir heute hin?
Miaka nne...
Vier Jahre...
Nimeanza kujuana na watoi wengine age yangu hapa mtaani
Ich fange an, andere Kinder in meinem Alter hier in der Nachbarschaft kennenzulernen
Miaka tano...
Fünf Jahre...
Napelekwa nursery nalia mathee usiniache hapa, usiniache hapa
Ich werde in den Kindergarten gebracht, ich weine, Mama, lass mich nicht hier, lass mich nicht hier
Miaka sita...
Sechs Jahre...
Najikuta kwa fight yangu ya kwanza lakini huu mkiddy ananichapa
Ich finde mich in meinem ersten Kampf wieder, aber dieser Kleine schlägt mich
Miaka saba...
Sieben Jahre...
Naingia primo kwenye uniform naskia raha
Ich gehe in die Grundschule, in Uniform fühle ich mich wohl
Miaka nane...
Acht Jahre...
Nishajua kuandika nipe biro ni vile si hufanya
Ich kann schon schreiben, gib mir einen Stift, so mache ich das
Miaka tisa...
Neun Jahre...
Nachimba mguu yangu vibaya nikicheza ball mguu tupu
Ich verletze mein Bein schwer, als ich barfuß Fußball spiele
Miaka kumi...
Zehn Jahre...
Natulia kejani wiki tatu mwanaume nipe supu
Ich bleibe drei Wochen zu Hause, Mann, gib mir Suppe
Miaka kumi moja...
Elf Jahre...
Naanza kuenda roundi za dush na za mbaa
Ich fange an, Runden im Dusch- und Barbereich zu drehen
Miaka kumi mbili...
Zwölf Jahre...
Napeleka beta high speed inanibamba
Ich bringe Beta, die hohe Geschwindigkeit begeistert mich
Miaka kumi tatu...
Dreizehn Jahre...
Diwali inafika lipua watu na baruti
Diwali kommt, zünde Feuerwerkskörper mit den Leuten
Miaka kumi nne...
Vierzehn Jahre...
Haiya nini hizi zinamea karibu na mkuki?
Heiya, was wächst denn da in der Nähe meines Speers?
Miaka kumi tano...
Fünfzehn Jahre...
Mono lakini siku ya kwanza tuna-skive chuo
Langweilig, aber am ersten Tag schwänzen wir die Schule
Miaka kumi sita...
Sechzehn Jahre...
Jioni jam session na hizo nguo
Abends Jam-Session mit diesen Klamotten
Miaka kumi saba...
Siebzehn Jahre...
Ndoto za maji zinanisumbua
Feuchte Träume quälen mich
Miaka kumi nane...
Achtzehn Jahre...
Chuo kwisha mtu mzima ID nachukua
Die Schule ist vorbei, erwachsen, ich hole meinen Ausweis
Miaka kumi tisa...
Neunzehn Jahre...
Mkulima napalilia kwa mara ya kwanza
Ich pflanze zum ersten Mal, mein Schatz
Miaka kumi kumi...
Zwanzig Jahre...
Naingia kejani natoa noma huku niki-stagger
Ich gehe nach Hause und mache Ärger, während ich torkele
Miaka mbili moja...
Einundzwanzig Jahre...
Naingia industry natoa ngoma yangu ya kwanza
Ich steige in die Industrie ein und veröffentliche meinen ersten Song
Miaka mbili mbili...
Zweiundzwanzig Jahre...
Eh, kumbe show huwa ngumu hivi kupata
Eh, es ist also so schwer, Shows zu bekommen
Miaka mbili tatu...
Dreiundzwanzig Jahre...
Naingia colle si kuna watoto huku
Ich gehe aufs College, da sind ja Mädels hier
Miaka mbili nne...
Vierundzwanzig Jahre...
Sina fare, sina lunch maisha ngumu
Ich habe kein Fahrgeld, kein Mittagessen, das Leben ist hart
Miaka mbili tano...
Fünfundzwanzig Jahre...
Wacha niende inda nione ka ntaangukia
Lass mich aufs Land gehen und sehen, ob ich Glück habe
Miaka mbili sita...
Sechsundzwanzig Jahre...
Eh hamsini jioni Mumbi si unaniumiza
Eh, fünfzig am Abend, Mumbi, du tust mir weh
Miaka mbili saba...
Siebenundzwanzig Jahre...
Haidhuru mtu wenu wa nguvu anatia bidii
Egal, dein starker Mann gibt sich Mühe
Miaka mbili nane...
Achtundzwanzig Jahre...
Champagne wapi naenda MTV!
Wo ist der Champagner? Ich gehe zu MTV!
Miaka hamsini...
Fünfzig Jahre...
Niko club nazitoka
Ich bin im Club und gehe aus
Miaka soo...
Hundert Jahre...
Viagra bado naziokota
Viagra nehme ich immer noch





Writer(s): ulopa ngoma


Attention! Feel free to leave feedback.