Lyrics Ha-He - Just a Band
Microphone
check
one,
one
two
(Musyoka)
Ukiwasha
nare
Mathare
'taonja
vibare
Mi
si
mnati,
si
Barbie,
niko
tu
katikati
Staki
kuskiza
story
za
charity,
charity
Nipe
wings
ni-defy-fy
gravity,
gravity
Sema
oh
Ha-He
Juu
tuko
works
mzeiya
(Ha-he)
Evacuate
the
area
(Ha-he)
Juu
tuko
works
mzeiya
(Ha-he)
Serikali
haijali
So
naona
mbwa
kali
afadhali
Dame
amejam
juu
dough
haikam
Na
siwezi
kum-show
ati
life
ni
exam
juu
Ntatupiwa
sufuria
Na
hizo
ni
aibu
ndogo
ndogo
mi
sipendi
So
nikikipita
tao
tao
Ju
sio
madharau-rau
Juu
tuko
works
mzeiya
Evacuate
the
area
(Ha-he)
Juu
tuko
works
mzeiya
(Ha-he)
Nipe,
nipe
nafasi
Nikueleze
kiasi
Vile
sisi
hufanya
Pande
hii
ya
the
tracks
Hatuchezi
na
kazi
Sipoteze
wakati
Tumekunja
mashati
oo-ooh
oo-ooh
Juu
tuko
works
mzeiya
(ha-he)
Evacuate
the
area
(ha-he)
Juu
tuko
works
mzeiya
aa
ah
(ha-he)
Juu
tuko
works
mzeiya
Evacuate
the
area
(ha-he)
Juu
tuko
works
mzeiya
aah
aah
(ha-he)
Ha-he
0
1 Save My Soul
2 Ha-He
3 Extra
4 Kaa Ridho
5 Migingo Express
6 Usinibore
7 Sunrise
8 Huff + Puff
9 Uko Mbele
10 Forever People (Do It so Delicious)
11 Stay
12 Boogiedeebweet
13 Tingiza Kichwa
Attention! Feel free to leave feedback.