K2ga - Goma Lyrics

Lyrics Goma - K2ga



Siku ya kwanza alipofanya
Akasema anaumia
Siku pili akaniambia
Roho inauma na inachoma
Siku ya tatu alipofanya
Akafanya kasema anasikia raha
Jaman anasikia raha
Kasema anasikia raha
Jaman anasikia raha
Anaitaka
Me namkatalia
Nisipompa jamani ananililia
Ananivuta eeeh
Ananishikilia
Anali shi shi shi
Me ntampatia
Mama upepo uo
Upepo uo
Upepo wa kisulisuli
Upepo wa kivunga upepo uo
Jama upepo uo upepo uo
Upepo wa kisu upepo uo
Upepo wa kisusu
Anaitaka me namkatalia
Nisipompa jamani ananililia
Ananivuta eeeh
Ananishikilia
Anali shi shi shi
Me ntampatia
Njoen tucheze wote
Hili goma sio langu la kwet sote
Njoen turuke wote
Mlio lala ndani leo tucheze wote
Mi nalikata,
Mi nalikata mama
Uno la taratibu
Mi nalivunja mama
Mi nalivunja,
Mi nalivunja tena
Mi nalika ka ka,
Mi nalikata dada
Na ukinibeep nitakupigia
Na ukinisema nitakununia
Na ukinichuki nitakuchukia mama we
Na ukilicheza nitakubambia kwa utamu we
Kwa utamu, kwa mama
Kwa utamu wa beat hili goma kwa utamu dada
Kwa utamu kwa mbona
Kwa uta ta ta, kwa utamu baba
Anaitaka mi namkatalia
Nisipompa jamani ananililia
Ananivute ananishikilia
Analishik shik shik mi nitampatia
Mama upepo huo upepo huo
(Upepo wa kisulisuli)
Upepo wa kibunga upepo huo
(Upepo wa kisulisuli)
Sema upepo huo upepo huo
(Upepo wa kisulisuli)
Upepo wa kisuli upepo uwo
(Upepo wa kisusi)
Anaitaka mi namkatalia
Nisipompa jamani ananililia
Ananivute ananishikilia
Analishik shik shik mi nitampatia
Njoooweni tucheze wote
Hili goma sio la kwangu, la kwetu wote
Njoooweni turuke wote
Mlio lala ndani leo tucheze wote




K2ga - Safari - Single
Album Safari - Single
date of release
30-11-2021




Attention! Feel free to leave feedback.