K2ga feat. Mohamed Almenji - Jedan Jathabah Lyrics

Lyrics Jedan Jathabah - K2ga



Ooh uhh
Ndo maana
Aai
Kalila bala wampa eeh
Najua wengi wanakutaka eeh
Tena wanahangaika vijino ngatu ngatu leo watakoma eeh
Na buri lako unapokata eeh
Roho yangu iko ginka eeh
Na midundo ya spika boom boom
Leo watakoma eeh
Tena ondoa wasi
Mimi ndio wako wewe
Fanya unachotaka baby
Aah, halo halo
Basi Leo baby bomba eeh
Esu sukari ikapanda eeh
Ati mara nanana Ooh baby
Jedan Jathaba
I be the one I choose
You mean the world to me
I don't need to see the stars
Ndo wewe naye kutaka
Uzuri wako umenivuta
Jedan Jathaba
Mimi nakwambia
Sijutii kukuchagua
Ladhi langu pendo
Nilokutunukia
Ahh mama ladhi langu pendo
Nilokutunukia mama
Ndo linalonisumbua
Mmh afkar ya habibi
Kalila bara wampa eeh
Najua wengi wanakutaka eeh
Tena wanahangaika vijino ngatu ngatu
Leo watakoma eeh
Funga pendo nganganga
Utaona wanaumia wasopenda
Jedan Jathaba
Ndo wewe naye kutaka
Uzuri wako umenivuta
Jedan Jathaba



Writer(s): Karim Zuberi Rashid


K2ga feat. Mohamed Almenji - Jedan Jathabah
Album Jedan Jathabah
date of release
22-05-2020




Attention! Feel free to leave feedback.