Karen - Shada Lyrics

Lyrics Shada - Karen



Hadithi tamu ya upendo tayari
Ushanisimuliaga sitaki mbwembwe na kwele mchele kwa kuku kumwaga
Mwenzako nakupenda we yote sema mi nitasikia
Unanipaga moyo nikianza kulia chozi unanifutiaaaaah
Utamu Ila si kidogo weukae usiwe mbogo
Ukaniona toto dogo u utamu ukaurusha eeeee
Utamu Ila si kidogo weukae usiwe mbogo
Ukaniona toto dogo u utamu ukaurusha eeeeeh
Halo Baba penzi shada naomba univishe
La maisha penzi usiniache njiani aaah
Halo Baba penzi shada nipe mapenzi na mi nikuenzi milele maishani
Halo Baba penzi shada oooh
La maisha penzi usiniache njiani
Aaaaanh
We ndo umeshika funguo usiruhusu wezi
Kuichukua ukaniacha maji ya shingo na mipira nigoyomea
Niite faragha nikikosea nikalishe chini nimejenga kibanda aaanh
Niite faragha nikikosea nikalishe chini
Nimejenga kibanda annnnh
Utamu Ila si kidogo weukae usiwe mbogo
Ukaniona toto dogo u utamu ukaurusha eeeeeh
Utamu Ila si kidogo weukae usiwe mbogo
Ukaniona toto dogo u utamu ukaurusha eeeeeh
Halo Baba penzi shada naomba univishe la maisha penzi usiniache njiani
Halo Baba penzi shada nipe mapenzi na mi nikuenzi milele maishani
Halo Baba aaaaanh penzi shada ooooooh
La maisha penzi usiniache njiani
Usiniache njiani usiniache njiaaaaniiiiii...



Writer(s): Karen


Karen - Shada
Album Shada
date of release
16-03-2019

1 Shada




Attention! Feel free to leave feedback.