Karen - Tabu Lyrics

Lyrics Tabu - Karen



Ukija niacha moyo wangu Nitaumia sana mie
Ndomana nikikuona mwili wote unanitutusika eeh
Kua nawe sina hakika,utaniua wee!
Mi kunipa pendo lako,
Kwangu imekua kama njozi,hata pale tufikapo. Amini naumwa homa!
We sio wa sampuli wala sample
Kwangu umekua kama dozi,
Hata pale niangukapo,Awe unaniinua savipi ukiniacha?
Me nitapata tabu oooh tabu! x 4
Niko na wewe,kinywa hakineni
Yanini niandikie mate,
Eti kipya kinyemi maneno ya uvumi yasinichachafye!
Mimi umenifunga semi kwa rafikizo baba usintangazie.
Ona mana fisi bucha hasusiwi hata buti
Haing′ai bila kiwi malumbano kando hayatakiwi...
Sasavipi ukiniacha?
Me nitapata tabu ooooh tabu! x 4
Tujikongoje tara tara.Taratibu kokote sisi tutafika
Visiwani bara bara.Majaribu usitetereke yatakwisha
Me nitapata tabu oooh tabu! x 4




Karen - Tabu
Album Tabu
date of release
12-12-2019

1 Tabu




Attention! Feel free to leave feedback.