Kassim Mganga - Dalilah Lyrics

Lyrics Dalilah - Kassim Mganga

Mapenzi yoyo, yanamuumiza Dalilah
Hali akashiba anawaza, yanamuumiza Dalilah
Mapenzi yoyo, yanamuumiza Dalilah
Halali anakesha akiwaza, yanamuumiza Dalilah
Dalilah naimba huruma, na wewe ujionee huruma
Funga hilo moyoni mwako, ukipenda penda kivyako vyako
Chunga isije ikala kwako, ukipendwa ficha mpenzi wako
Ona mapenzi yanavyokuliza, ona mawazo yanakumaliza Dalilah
Ukachora tatoo ya kopa kati na jina lake, penzini ukajitosa
Ukaifuta tatoo, uuguze donda ubaki na kovu lake
Moyoni vunja mfupa,
Ungefanya choyo, ungedumu nae
Mapenzi yoyo, yanamuumiza Dalilah
Hali akashiba anawaza, yanamuumiza Dalilah
Mapenzi yoyo, yanamuumiza Dalilah
Halali anakesha akiwaza, yanamuumiza Dalilah
Waalika best zako, waje dinner nyumbani kwako
Kijiwe sebuleni kwako, story na sifa za baby wako
Mwala kwa muwinda mapenzi akayashindwa, kapigiwa akacheza
Usiku anajiiba, mapenzi kayavunja na kibwebwe kajifunga
Ukachora tatoo ya kopa kati na jina lake, penzini ukajitosa
Ukaifuta tatoo, uuguze donda ubaki na kovu lake
Moyoni vunja mfupa,
Ungefanya choyo, ungedumu nae
Mapenzi yoyo, yanamuumiza Dalilah
Hali akashiba anawaza, yanamuumiza Dalilah
Mapenzi yoyo, yanamuumiza Dalilah
Halali anakesha akiwaza, yanamuumiza Dalilah

Writer(s): Kassim Mganga

Kassim Mganga - Dalilah
Album Dalilah
date of release
30-11-2017

Attention! Feel free to leave feedback.