Lyrics Hao - Khaligraph Jones , Masauti
Yeah
You
gotta
love
it
Ayo,
what′s
happening?
(Hao)
OG
(Hao)
Masauti
Kenyan
Boy
(Hao)
What's
good?
(Hao)
Wanaona
mwangaza
Ila
hawajui
nyuma
yetu
kiza
kinene
Lakini
tunapambana
Ila
mziki
majanga
lazima
tu
wanene
Wanajifanya
wanapenda
(Hao)
Ila
wanadidimiza
(Hao)
Wanajifanya
wanapenda
(Hao)
Ila
wanadidimiza
(Hao)
Kukuwa
celebrity
Kenya
ni
kujitolea
(Yeah)
Ku
apologisia
watu
haujakosea
(Preach)
Ka
we
ni
msofti
utasema
wanakuonea
(Why?)
Ka
we
ni
mjanja
utabidi
umezoea
(No)
Watakutusi
ndio
u-catch
na
wacheke
Wakishakutusi
mara
that,
hao
wasepe
Udaku
inapigwa
na
kasheshe
Ukianguka
kwa
sakafu
unapigangwa
mateke
Kukuwa
celebrity
gharama
(Gharama)
Ju
wakishakujua
ni
lawama
(Lawama)
Bahati
akianza
alikuwa
mtoto
wa
mama
Sai
Twitter
mmegeuziwa
ye
ni
mtoto
wa
Diana
Hakuna
huruma
siri
ni
kulenga
tu
(Kulenga
tu)
′Cause
if
it
don't
kill
you
then
inakujenga
tu
(Inakujenga
tu)
Na
bado
kuna
fans
wanakupenda
tu
Azziad
usijali,
hivo
ndo
vile
kuenda
boo
Si
nyi
hu-troll
Simple
Boy
ka
kila
siku
But
Kipchoge
akivaa
the
same
mnamsifu
Inauma
kupambana
na
hizi
issues
But
brathe
usijali
we
zoea
hizi
vitu
Wanaona
mwangaza
Ila
hawajui
nyuma
yetu
kiza
kinene
Lakini
tunapambana
Ila
mziki
majanga
lazima
tu
wanene
Wanajifanya
wanapenda
(Hao)
Ila
wanadidimiza
(Hao)
Wanajifanya
wanapenda
(Hao)
Ila
wanadidimiza
(Hao)
Kukuwa
celebrity
Kenya
ni
kujitolea
(Why?)
Your
downfall
ndo
mbogi
huwanga
inangojea
Leo
watakuchocha
vile
uko
juu
unapepea
But
kesho
ka
shetani
watakukemea
(Riswa)
Remember
Esther
Arunga
na
huzzy
yake
Hellon?
It's
so
sad
wamefungwa,
ju
sai
ni
ma
felon
Walitrend
tukawacheka
when
they
needed
help
(Why?)
Tukaangalia
when
they
busy
destroying
themselves
Ni
poa
tuweke
imani
kwa
Yesu
Woi
Jimmy
Gait
si
ye
huona
siku
mrefu
Tumemtroll
bila
kujiuliza
question
(Like
what?)
Like
what
if
that
nigga
fell
in
depression?
Papa
Denis
alidedi
tukamchangishia
Tuka-type
rest
in
peace
tukimpandisia
Ati
tuko
sad
while
tunajua
vile
alikapitia
We
tu
ni
ku-troll
ni
ka
haujui
kitu
inaeza
kufanyikia
Mulamwa
ameshachoka
amedai
zii
Ju
ya
matusi
toka
Twitter
mpaka
IG
Mi
ni
gangsta
mkinitroll
haiwasaidii
(Kwenda)
Buda
OG
huwa
zogo
shinda
5G
(Staki)
Mmefanya
mpaka
Pozee
amewacha
injili
(Hahaha)
Ameacha
kuimba
mangoma
za
Holy
Spirit
Ju
mnapenda
ongeza
chumvi
pia
na
pilipili
10
over
10
hamtaki
sai
mnatusi
Willis
As
if
mmekuwa
forced
kutazama
Nyi
ni
fans
in
denial
so
of-course
mnajifanya
Kukuwa
celebrity
kuwa
ready
for
drama
Omba
God
akubless
na
self-esteem
ya
pastor
Ng′ang′a
Na
confidence
ya
Orie
Rogo
Manduli
Na
will-power
ya
John
Pombe
Magufuli
And
though
wengi
watasema
ni
kiburi
But
that's
the
only
way
utawezana
na
hawa
mabully
Wanaona
mwangaza
Ila
hawajui
nyuma
yetu
kiza
kinene
Lakini
tunapambana
Ila
mziki
majanga
lazima
tu
wanene
Wanajifanya
wanapenda
(Hao)
Ila
wanadidimiza
(Hao)
Wanajifanya
wanapenda
(Hao)
Ila
wanadidimiza
(Hao)
Watakushow
ati
hauwezi
fika
mbali
(Hao)
But
ni
wivu
tu
jo
wamejaa
makali
(Hao)
Comment
section
wamejaza
na
upuzi
(Hao)
Lakini
DMs
same
haters
bado
groupies
(Hao)
Ukikafunga
hivi
waskiangi
fiti
(Hao)
Wanatamani
kuishi
maisha
we
unaishi
(Hao)
So
hata
waki-hate
haina
ngori
tuko
mbele
(Hao)
Get
a
life
nigga
punguza
kelele
(Hao)
Attention! Feel free to leave feedback.