Lyrics Kwendaa - Khaligraph Jones
Sipendi
mangoma
za
Kenya
(Kwenda!
Kwenda!)
Mi
sitambui
Omollo
(Kwenda!
We
kwenda!)
Ah,
si
huyu
boy
huringa?
(Kwenda!
Kwenda!)
Mi
sijawahi
hire
madinga
(Kwenda!
Shenzi!)
Ah,
mi
sipendi
hizo
mangoma
(Kwenda!
Kwenda!)
Mi
sitambui
Omollo
(Kwenda!
Kwenda!)
Manze
huyo
boy
huringa
(Kwenda!
We
kwenda!)
Mi
sijawahi
hire
madinga
(Kwenda!
Shenzi!)
Imebidi
nijirushe
kwa
debe
(Imebidi
nijirushe
kwa
debe)
Hizo
makura
lazima
nibebe
(Hizo
makura
lazima
nibebe)
RAO
na
Ruto
wameingiza
njeve
(Kijana
anasema
wanataka
kujua)
Omollo
pekee
ndo
amesimamisha
reggae
(Omollo,
Omollo,
Omollo)
Kaa
nakuboo,
chukua
wembe
umeze
(Meza!)
Na
hapa
sikuji
ndio
niwabembeleze
(Kwenda!)
Swag
imetii,
imepandishwa
ndege
(Zoom,
zoom,
zoom!)
Nakashikisha,
utadhani
ni
veve
(Ooh!
Ooh!
Ooh!)
MCSK
wanahitaji
mateke
(MCSK
wanahitaji
mateke)
Nitakuja
kwa
ofisi
niwabakishe
ndethe
(Kwendeni
huko!
Matako!)
Wasanii
ndio
mmeamua
mtese
(Wasanii
ndio
mmeamua
mtese)
Kwenda!
Pesa
zetu
mlete
(Kwenda!)
Mi
nitawakata
kata
hizo
pembe
(Mi
nitawakata
kata
hizo
pembe)
Wera
hampigi,
nyi
ni
wazembe
(Wera
hampigi,
nyi
ni
wazembe)
Hakuna
kuhepa,
kwanza
tujenge
(Tupeeni
hizo
mapesa)
Rende
ni
Rong,
mbogi
ni
genje
(Rende
ni
Rong,
mbogi
ni
genje)
Mavijana
wanalia
unenge
(Mavijana
hawajadishi
kakitu)
Na
bado
mnafinyilia
wagenge
(Pesa
iko
wapi?
We
nilipe!)
Kwa
saa
hii
tumegoma,
wacha
kaende
(Wacha
kaende,
mimi
sitaki)
Na
siko
solo,
niko
na
kirende
(Na
siko
solo,
niko
na
ki-)
Sipendi
mangoma
za
Kenya
(Kwenda!
Kwenda!)
Mi
sitambui
Omollo
(Kwenda!
We
kwenda!)
Ah,
si
huyu
boy
huringa?
(Kwenda!
Kwenda!)
Mi
sijawahi
hire
madinga
(Kwenda!
Shenzi!)
Ah,
mi
sipendi
hizo
mangoma
(Kwenda!
Kwenda!)
Mi
sitambui
Omollo
(Kwenda!
Kwenda!)
Manze
huyo
boy
huringa
(Kwenda!
We
kwenda!)
Mi
sijawahi
hire
madinga
(Kwenda!
Shenzi!)
Mashonde
kwa
DM
lakini
sijibu
(Sijibu!)
Juu
najua
ni
jina
unataka
kuharibu
(Haribu!)
Ukiachwa,
wachika,
wachana
na
wivu
(Wachana
na
mimi!)
Na
mimi
Omollo,
mimi
sijibu
(Omollo)
Heh,
na
kaa
sikutaki
nitakwambia
"Kwenda"
(Kwenda!)
Juu
nikiwa
juu
ndio
nyi
hunipenda
(Penda!)
Chorea,
hii
mbogi
inaweza
kutenda
(Tenda!)
Na
chini
ya
waba
wako
na
agenda
(Ih-hii-hii-hii!)
Nikiwa
Kayole,
utanipata
kwa
Proface
(Proface,
Proface)
Juu
huko
ndio
mi
hu-supply
in
doses
(Whoop!
Whoop!
Whoop!)
Ngoma
nauza,
utadhani
ni
tokens
(Tii-tii-tii!)
Hakuna
teke,trust
the
process
(Vroom!
Vroom!
Vroom!)
Na
kaa
ni
collabo,
utabonga
na
Franko
(Franko!
Franko!)
Amekuwa
manager
kutoka
campo
(Campo!
Campo!)
BET
nominee,
buda
na-run
show
(Omollo!
Omollo!)
"Omollo
unatesa,
manze
jo,
come
slow!"
(Iyee)
Uh,
nyi
MCSK
ni
mafala
(Kwenda!
Kwenda!)
Uh,
mnatupeleka
hasara
(Kwenda!
We
kwenda!)
Yeah,
you
better
pay
what
you
owe
(Kwenda!
Kwenda!)
Nasema
nataka
hio
doh
(Kwenda!
Shenzi!)
Manze,
tumechoka
na
curfew
(Kwenda!
Kwenda!)
Uhunye,
jo,
rada
ni
chafu
(Kwenda!
Kwenda!)
Si
usikie
kilio
ya
watu?
(Kwenda!
We
kwenda!)
Ghetto,
mbogi
iko
njaa
tu
(Kwenda!
Shenzi!)
Sipendi
mangoma
za
Kenya
(Kwenda!
Kwenda!)
Mi
sitambui
Omollo
(Kwenda!
We
kwenda!)
Ah,
si
huyu
boy
huringa?
(Kwenda!
Kwenda!)
Mi
sijawahi
hire
madinga
(Kwenda!
Shenzi!)
Ah,
mi
sipendi
hizo
mangoma
(Kwenda!
Kwenda!)
Mi
sitambui
Omollo
(Kwenda!
Kwenda!)
Manze
huyo
boy
huringa
(Kwenda!
We
kwenda!)
Mi
sijawahi
hire
madinga
(Kwenda!
Shenzi!)
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Attention! Feel free to leave feedback.