Lyrics Me Siogopi - Khaligraph Jones
Yeah
Ahuu
Siogopi
yoh,
ahuu
Me
siogopi,
ahuu
Yeah,
yeah
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi,
me
siogopi
Leo
ni
movie
mnataka
kuona
na
mi
si
Tokodi
(Mi
si
Tokodi)
Visanga
tutafanya
leo
lazima
tupatiwe
notice
(Rakaka)
Lakini
ambia
mwenye
nyumba
nimesema
siondoki
(Hahaha)
Cheki
vile
nimekafunga
boss
na
mi
sio
chopi
(Na
mi
sio
chopi)
Mapesa
najua
kutafuata
sana
na
mi
siokoti
(Na
mi
siokoti)
Makesi
si
pia
natatua
sana
na
mi
sio
korti
(Na
mi
sio
korti)
Na
kale
kambwenya
kangu
ka
seko,
si
na
miss
hio
koti
(Na
miss
hio
koti)
Si
tuko
kimoja
nikisema
hawa
ma
OG
ni
konki
(Konki
fire)
Wako
na
kikosi
ya
mbogi
ya
Odi
ya
kina
Munyoki
(Munyoki
murogi)
Na
mi
na
Munyoki
tukikuja
kwako
si
hatutoki
(No
never)
Na
ka
una
shida
kimbia
polisi
ukapige
ripoti
(Toka
kwenda)
Si
aki
ya
nani
leo
lazima
tuvunje
rekodi
(Vunja
kivolume)
Ju
kuna
bash
ya
kuzima
wasanii
wa
ngoma
shoddy
(Zima
kabisa)
Si
kuserereka
mpaka
wathii
watoke
na
magoti
(Hahaha)
But
hizi
ni
vitu
si
tumezoea
si
hatuogopi
(Rrraah)
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi,
me
siogopi
Ka
ni
vitisho
tumezoea
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi,
me
siogopi
Ka
ni
vishasha
tumezoea,
me
siogopi
(Rrraah
kakaka)
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi
(Si
me
siogopi)
Me
siogopi
(Na
we
huogopi?)
Me
siogopi
(Ka
we
huogopi)
Me
siogopi
(But
me
siogopi)
Me
siogopi
(Rrraah
kakaka)
Oya
gathee,
hii
si
lingala
mi
sio
Koffi
(Mi
sio
Koffi)
Na
ukinihalla
nipate
Java
na
miss
hio
coffee
(Na
miss
hio
coffee)
Cheki
vile
mi
huwaliza
ngori
na
mi
sio
Kofi
(Kofi
Annan)
Na
ukijaribu
kuleta
nyoko
nyoko
hapa
ni
makofi
(Bloody
fuckin')
Tabia
za
Pozze
zinaweza
fanya
useme
siokoki
(Aki
ya
nani)
Lakini
wacha
ninyamaze
gathee
nibaki
kwa
topic
(Ukanyamaze)
Hii
ngoma
nimefanya
na
Omollo
na
mi
siwachochi
(Omollo
mgani?)
Omollo
mmoja
yule
alishinda
trophy
(Brrraah)
Nishawachanua
me
siogopi
Mi
ni
kurutu
jo
mi
sio
softi
Ka
ni
kuroga
then
mi
ndio
bossi
Ka
unaugua
then
hii
ndio
hosi
Hii
ni
beef
jo,
hii
sio
Sossi
Hii
ni
hit
jo
au
sio
Motif
K.O.B
jo
leta
hio
coffin
Rest
in
peace
jo,
me
siogopi
Mabuda
mnachoma
Kazi
ni
ku
copy
paste
hawa
ma
youngin'
Ndo
pia
nyi
mtrend
Mbona
msikubali
mmechapa
Ni
ka
mnasaka
career
zenyu
zimeend
Mnazoza
kwa
mneti
mashow
mnapiga
Na
zinafanyika
ka
kila
weekend
Na
ngoma
mkitoa
the
only
platform
mnapata
Ni
Citizen
10
over
10
Mi
nipe
candle
siwezi
potea
Ju
kitu
nafanya
ni
ngumu
kusample
(Woo)
Hardcore
rapper
lakini
ikibidi
Namada
pia
beats
za
dancehall
(Rrraah)
Favourite
rapper
wako
batty
boy
Tulimpata
akinunua
tampoons
Mbogi
yangu
ya
ubakora
ni
major
Utatupata
na
akina
Kansoul
Acha
kiburi
punguza
kelele
Zako
pang'ang'a
kwa
mtaa
we
ni
mwere
Utageuzwa
kichungi
ukizidi
na
kwere
Nilianza
kuhustle
enzi
za
Nyerere
Legendary
kama
Luanda
Magere
Nina
ofisi
huko
Mwea
Tebere
Niko
na
maratchet
wale
ukiketi
mbaya
Soda
yako
watakuwekea
mchele
Before
nianze
rap
hapa
Kenya
Kulikuwa
na
shortage
ya
skill
Hakukuwa
na
talent
(Omollo)
Akina
Pinye
walimada
industry
Wakafanya
ikuwe
barren
Wakasema
nisiroge
na
ngoso
Ati
sababu
sijatoka
Karen
But
fuck
you
nigga
Guess
sai
nani
anapiga
mavideo
na
kina
Clarence
HBR
nangoja
mnipigie
simu
mniambie
pole
Hio
top
50
mlitoa
Inaonyesha
vizuri
hamkufika
hata
college
Ju
ka
si
Khali
ndio
number
1
Inaonyesha
vile
mmedharau
jina
Freestyle
zangu
ndo
most
viewed
on
your
channel
Na
bado
mnakosa
heshima,
aah
Aki
ya
nani
Ayo
Motif
imebakia
nani
Mbona
wathii
hawanitakii
amani
Hii
game
me
naifuck,
nimeimwagia
ndani
Nani
hapa
Kenya
amesukuma
hii
culture
ya
Hip-Hop
kushinda
Omollo?
(Iyee)
K.O.B
na
Khaligraph
kwa
battlefield
Tunasimama
solo
Ahh,
unarada
fiti
Kuna
wasanii
kadhaa
bado
wasaliti
Wanasaka
kiki,
so
hawataki
kuona
sisi
tukipaa
Watafurahi
tukikaa
Kamiti
OG
we
ah
burn
dem
amachichi
Ama
vipi?
Bado
mi
nafanya
mziki
If
it
ain't
about
the
money
don't
tryna
reach
me
Nishamaliza
hii
kitu
inakaa
mazishi
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi,
me
siogopi
Ka
ni
vitisho
tumezoea
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi,
me
siogopi
Ka
ni
vishasha
tumezoea,
me
siogopi
(Rrraah
kakaka)
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi,
me
siogopi
Me
siogopi
(Si
me
siogopi)
Me
siogopi
(Na
we
huogopi?)
Me
siogopi
(Ka
we
huogopi)
Me
siogopi
(But
me
siogopi)
Me
siogopi
(Rrraah
kakaka)
Attention! Feel free to leave feedback.