Lyrics Number Moja - Kidum
Namba
moja
yesu
eh...
Asante
bwana
oh,
Namba
moja...
uuhh
Nafasi
yote
moyoni
Nimeshaipa
kwa
yesu
Ni
namba
moja,
moja
moja
moja
Nafasi
yote
moyoni
Nimeshaipa
kwa
yesu
Ni
namba
moja
moja
moja
moja
Nimeshatembea
nimeshazunguka
Kila
pahali
nikifika
kila
kona
Nimejaribu
kutafuta
Kinachoweza
kuridhisha
moyo
wangu
Nikatangatanga
mashariki
na
kusini
Ili
mradi
nitafute
Nikamanga
manga
magharibi
kaskazini
Kupata
kile
ninachotaka...
wimbo
Nafasi
yote
moyoni
Nimeshaipa
kwa
yesu
Ni
namba
moja
moja
moja
moja
Nafasi
yote
moyoni
Nimeshaipa
kwa
yesu
Ni
namba
moja
moja
moja
moja
Juhudi
zangu
zote
zilipogonga
mwamba
Nikafa
moyo
nikakataa
tamaa
Ndiyo
bwana
akataka
nigusa
Nikasimama
nikaanza
kutembea
Asante
Bwana
Mwokozi
wangu
Nimetambua
kama
nimekupata
Pewa
wimbo
pewa
sifa
Asante
Yesu
Nimeshatembea
nimeshazunguka
Kila
pahali
nikifika
kila
kona
Nimetambua
nimekupata
Bwana
Yesu
Mwokozi
wangu
Nafasi
yote
moyoni
Nimeshaipa
kwa
yesu
Ni
namba
moja
moja
moja
moja...(Repeat)
1 Ishano
2 Ingovyi
3 Kiriza Urutoke
4 Mbabarira
5 Umenikosea
6 Kwetu
7 Number Moja
8 Amosozi
9 Ngwino
10 Amata Y'imfyumfyu
11 Kichuna
12 Urugendo
13 Ishano (Acoustic)
Attention! Feel free to leave feedback.