King Kaka - East Kwa Mabeast Lyrics

Lyrics East Kwa Mabeast - King Kaka



Ok King Kaka, Karibu East Kwa Mabeast
Nyanyangu aliniombea niwe na macho kwa kisogo incase nagwaya
Sidwell in the past but hiyo past imeniInsipre
Na vile kuna noma sahii wajanja ka mimi
Watajenga bridge wajinga ka Patel watajenga dam
Ka hauwezi beba maarifa usijichoche unaweza cram
Siunikose basi ndio nijue nia, si tupotee basi ndio tujue njia
Si kuna sewer zimepita kwa living Eastlando na hauwezi throw up
My prayer tu ilikuwa niweze grow up
Closing day nimengoja hadi 3 na dad hakushow up
Sijakushow kwetu tulikuwa best friends na njaa
Ceiling yetu haikuwa best friends na taa
Nyi mko na timetable kwa fridge vile ile food mtadecide
Tulikosa sana I think minyo zangu zilicommit suicide
Eyewitness ya death ya akina Ronnie na Ndishu
Sijawai get comfortable, hii sio kitambi nimestomach issues
All along wametushow sisi ni others, sisi ni ETC
Hesabu haziingi, kumbe ni syllabus ya IEBC
Hawakutunyunyuzia maji basi hatuwezi koma
Na Wewe hautaki kuObey basi hauwezi command
Tulitamani sana hiyo life ya top za Hawaii, jinika tight na masahara
Doh beside them, chuma kwa buckle na madem na mascara
Hadi ile siku OCS alikutana na wao akawaambia basi lala
Si we ndio mmekuwa mkiangaisha hii mtaa usiku na mchana
Ile panya inauma ikipuliza si imepatikana
Next week tulikuwa tunaenda ocha kwao na basi saba
Nikachujwa chuo mara kadha ata nikawish niende
East kwa workshop ya devil nikawish Fe nibebe
Thank God kila weekend niko kwa class, I mean 1st class kwa ndege
Na akili zikiwa uji si wataenda kwa chief kukesi
We unachase madem, si uchase doh na madem watakuchesi
Si uhave dialogues na God, hajakushow vile ameniblessings
Umeblessiwa kwa dias ya cathedral
Jiulize mbona pastor haendi kuperform miracles kwa hospitals
Sikuhizi ata church iko na madingo na gospel iko na Willy Paul
But I don't judge, mi nangoja siku maJudge watajudgiwa na God
Shule ya rap niligraduate from sunguch to a GOAT
Umeshindana na elephant kushonde, hapo ndio itawacost
Private wing daktari atakuwa anatie kaKnot
Birthday zilikuwa githeri na mabaloons
Sahii ni private rooms na roundtable ni ma tycoons
Ntanawa bado ata kuku ikiletwa even though kuna knife na 5 spoons
Na huyu politicians ni mjinga, ndani ya SUV anajificha aje?
Actually sisi ndio wajinga aje? Na kura bado tutapiga aje
Potholes zinahitaji lifeguard juu zimejaa maji
Na akipita ako na 5 cars
Ohh reminder hiyo ni ganji yako yaani your tax
Basi parliament iitwe bedroom
Huyu tu ni Kaka anawaAttack, hizo manifesto ni whack
For the last time mi sina beef na Sauti
Mi niko na mabiz huko Saudi
Wanilock niko kwa bars ka kauzi
Na vile mzizi iko deep ntaogopaje upepo
Bado KING ata mkitamka potato potato
Naangalia kwa kioo na everything I need inaniangalia
I smell fear vile tu kwa kila room naingia
I mean rappers, rappers, rappers
Unataka kumaliza career zenu basi dai verse
Unataka kupendwa na kila mtu basi die first
Tunalive the dream utakuwa aje na nightmares
Dr. King alishafight for the Dream ndio tusikuwe na nightmares
Ndio maana kila night namake love na success kwa bed
Remember patience puts a crown on the head
Karibu tufeast, Karibu
EAST KWA MABEAST



Writer(s): King Kaka


King Kaka - Eastlando Royalty
Album Eastlando Royalty
date of release
30-11-2018




Attention! Feel free to leave feedback.