King Kaka - Leta Lyrics

Lyrics Leta - King Kaka




Number leta waiter leta change leta aah leta mdogo mdogo mdogo tunaenda mdogo mdogo mdogo tunaenda
Aya aya ni mi King kaka dj cheza ngoma si hutaka
Warembo wote include maviraka
Ati club zimejaa tunaparty kwa kichaka
Hey mummy hebu dance na mi
Uko na chali basi dance for me
Uko kwa daddy basi kam kwa mi
Mko wangapi basi kam na ma3
Maboy wangu imbo huwa hawana lugha wengine ni madingo na njumu zinatupa



Writer(s): Kennedy Otieno Ombima



Attention! Feel free to leave feedback.
//}