King Kikii - Safari Lyrics

Lyrics Safari - King Kikii



A.Y
Yeah
Safari
Ya kwako duniani
King Kiki: Safari...
A.Y
Safari ya kufikia uzee (uzee)
Lazima uianze utotoni
Muda siku zote hauwait (wait)
Future ipo kwa wazazi mikononi...(Safari)
Kama safari ya kawaida
Milima na mabonde ni lazima utaikuta
Nainapaswa kuivuka
Imewekwa kwa ajili kukupima ka utasita... (Safari)
Elimu ikakungoja
Ukasoma kwa bidii huku ukijikongoja
Mambo ya dunia yakakudrop down
Ukainuka ukajivuta na bado mbele ukasonga... (Safari)
Wachache wakakuhusia
Watu wengi sana wakakuharibia
Hii ndio dunia bro
Hii ndio dunia sista
Kumbuka unaishi kwenye uwanja wa vita...(Safari)
King Kiki
Safari...(Safari)
Safari. Ya binadamu
Safari...(Safari)
Safari... Ya walimwengu
Safari. Bado twa tembea
Safari. Bado twa tafuta
Safari...(Safari)
Safariiiiii ooouuuoooo
A.Y
Ukakutana na mapenzi
Ukawa pamoja watu wengi wakuenzi
Wakakufanyia ushenzi (damn)
Ukaona kila mtu ni hakupendi... (Safari)
Wanzeko hawaendi unakokwenda
Na hawafurahi ukishinda
Kuwa makini kwani you never know
Mpenzi wa leo ndio adui wa siku zijazooo
Changamoto ukakutana nazo
Ukatambua game ya mapenzi kama pazo
Ila vumilivu ndio ngao
Waliopo kwenye ndoa na wapa salamu zao (zao) (safari)
King Kiki
Safari...(Safari)
Safari. Ya binadamu
Safari...(Safari)
Safari... Ya walimwengu
Safari. Bado twa tembea
Safari. Bado twa tafuta
Safari...(Safari)
Safariiiiii ooouuuoooo
A.Y
Miaka inakwenda (kwenda)
Siku zinapita unavuna ulichopanda (ah)
Wengine wamesanda (sanda)
Wengine kwa majumba
Wengine kwenye vibanda (ah)
Wazuri wanaishia kibao
Wabaya wanafika mbali na kuleta mabalaa
Kila mtu anasafari jamaa
Na hatuwezi kufanana so usikatema (ah)
Umejiandaaje na kifo
Unakumbuka kutubu kwa mola dhambi zako
Isije kula kwako
Ukatamani igeuke nyuma hii safari yako
Ulizaliwa peke yako
Nakumbuka utarudisha namba ukiwa peke yako
Basi tubu dhambi zako
Ufunge chapter ujaribu kumkumbusha na mwenzako. (safari)
Bridge:King Kiki
Safari, Maisha ni safari ndefu...(safari)
Safari, twaimba leo Maisha ni safari ndefu (safari)
King Kiki
Safari...(Safari)
Safari. Ya binadamu
Safari...(Safari)
Safari... Ya walimwengu
Safari. Bado twa tembea
Safari. Bado twa tafuta
Safari...(Safari)
Safariiiiii ooouuuoooo
End



Writer(s): King Kikii


King Kikii - Safari
Album Safari
date of release
20-11-2018

1 Safari




Attention! Feel free to leave feedback.