Lyrics Twende Kwa Yesu - Lady Bee
Twende
kwa
Yesu
mimi
nawe,
Njia
atwonya
tuijue
Imo
Chuoni;
na
Mwenyewe,
Hapa
asema,
Njoo!
Na
furaha
tutaiona,
Mioyo
ikitakata
sana,
Kwako,
Mwokozi,
kuonana,
Na
milele
kukaa.
"Wana
na
waje",
atwambia,
Furahini
mkisikia,
Ndiye
mfalme
wetu
pia,
Na
tumtii,
Njoo.
Wangojeani?
Leo
yupo;
Sikiza
sana
asemapo;
Huruma
zake
zikiwapo,
Ewe
kijana,
Njoo.
Attention! Feel free to leave feedback.