Lady Jaydee - I Found Love Lyrics

Lyrics I Found Love - Lady Jaydee feat. Rama Dee



I found love
I found love
Haya sio mapenzi this is magic
I found love
I found love
Hata kueleza siwezi, this is magic
Hizo I love you I love you too
Tushavuka mipaka
Ka kunipenda unanipenda tu
Na wala sina mashaka
Breakfast in the morning
Unanipa supu matata
Twende wote jikoni
Siagi bread nimepaka
You're in my heart
Nakupenda zaidi
Nuru yangu pekee
You're all i want today
Oooh hold me tight
Nakupenda zaidi
We ni wangu pekee
You're all i want today
Popo li popopoo
Kalale nacho kidali po
Do it for me
Nirudishe utotoni
Popote po ulipo
Pembeni yako nami nipo
Sikomi, nirudishe utotoni
Kwanza ukiacha love
Si ni marafiki
Nisogezee huo mkono niushike
Waziba njia tupishe
Ya nyuma nshasahau kwa mikiki mikiki eeeh
We ndo umefanya nifike
Leka kwaya ya chibite
You're in my heart
Nakupenda zaidi
Nuru yangu pekee
You're all I want today
Oooh hold me tight
Nakupenda zaidi
We ni wangu pekee
You're all I want today
Popo li popooo
Popote po ulipo



Writer(s): Judith Wambura, Judith Wambura Mbibo


Lady Jaydee - I Found Love - Single
Album I Found Love - Single
date of release
20-01-2023



Attention! Feel free to leave feedback.