Lyrics Wale Wale - Lava Lava
Haaaa!
haaaaa!
Naumwa
nina
maradhi,
nipelekeni
hospiyalini.
Mwenzenu
naumwa
moyo
umekufa
ganzi,
nimechoka
kunywa
kwinini.
Nahisi
ukichaa
nusu
utahira
uchizi,
naona
kinyama
zongo.
Niliyavagaa
lami
nikaipiga
mbizi,
ikanipasua
ubongo
uboongo.
Angeniambia
basi,
tungeachana
kizuungu,
Ningempa
nafasi,
kuliko
kutupanga
maafungu.
Nisinge
ghasi,
japo
ni
nguumu
machungu.
Chanya
na
hasi,
anapangaga
Mungu.
Kibatari
kazidisha
tambi
penzi
limelipuka,
Ye
anachiti
haogopi
dhambi
hana
ruuka
ruka.
Moyo
kaupiga
bambi
umeshateuka,
Popote
anaweka
kambi
kutwa
anachepukaa.
yanii
Ndo
Wale
wale,
wanaokujaga
kwa
tafadhali
nakupenda.
Wale
wale,
wakimaliza
shida
zao
wanakwenda.
Ndo
Wale
wale,
eti
hoo
nilipotoka
nilitwendwa.
Wale
wale,
kumbe
ni
waongoo
waongo.
Ooh
nenda
umwambie,
mapenzi
hayanajagili
yanaumiza.
Tena
mwambie,kuna
walio
matajiri
washalizwa.
Usimfiche
mwambie,
mapenzi
hayana
utabiri
si
miujiza.
Fanya
mwambie,
mimi
si
wakwanza
kuumiiizwaaa.
Yaliwatesa
vikongwe,
tulisoma
vitaabuni.
Nami
yamenipa
mazonge,
najikaza
kisaabuni.
Sawa
mimi
ni
mnyonge,
damu
yangu
ya
kunguniii.
Mi
fungu
la
tatu
kibonde,
mwenzangu
laa
kumii.
Angeniambia
basi,
tungeachana
kizuungu.
Ningempa
nafasi,
kuliko
kutupanga
mafungu.
Nisinge
ghasi,
japo
ni
ngumu
machungu.
Chanya
na
hasi,Yote
anapangaga
Mungu.
Kibatari
kazidisha
tambi,
penzi
limelipuka.
Ye
anacheat
haogopi
dhambi,
anaruka
ruka.
Moyo
kaupiga
bambi,
umeshatueka.
Popote
anaweka
kambi,
kutwa
anachepukaa
yaani.
Ndo
wale
wale,
wanaokujaga
kwa
tafadhali
nakupenda.
Wale
wale,
wakimaliza
shida
zao
wanakwenda.
Ndo
wale
wale,
eti
hoo
nilipotoka
nilitendwa.
Wale
wale,
kumbe
ni
waongoo
waongo.
Mwache
afanye
anachotaka,
hanikomoi
wala
hanikomoi.
Sishtuki
hata,
hanikomoi
wala
hanikomoi.
Sina
hofu
sina
mashaka,
hanikomoi
wala
hanikomoi
Bure
anatapatapa,
hanikomio
wala
hanikomoi.
...End...
Attention! Feel free to leave feedback.