Lilmaina - Unamaliza Chapo Ngapi Lyrics

Lyrics Unamaliza Chapo Ngapi - Lilmaina



Unamaliza chapo ngapi
Ngapiiiii yeah
Unamaliza chapo ngapi
Chapo unakula ngapi
Chapo unafyeka ngapi
Manzi yako mali safi
Clean girl
Nikohandas na maji
Manzi yako mshikaji
Ooooh yeah
Anakula ka fuckin
Ooooh yeah
Chafua hio meza na chapati
Amota hizo tano ati ni barbie
Huyu ni odi sisi hatumtaki
Juzi nilienda form na chapati
Boy wake akaniuliza mimi ni nani
Who are you
Nikumuuliza nakula chapati
Unamaliza chapo ngapi
Chapo unakula ngapi
Unamaliza chapo ngapi
Chapo utakula ngapi
Chapo unafyeka ngapi
Alisema ni wake
Huko twitter si wake
Ilimu affect
Alichezwa oooh yeah
Akalewa ju ya pressure
Hey ot hii ni pressure
Enda mechi na otamendi
Ingia jaba ndio umedi
Hakuna kuroria hakuna kumedi
Usikulane kuna ukedi
Kula chapati haina ukedi
Nyoa nywele usiweke dredi
Supu ya chapo itaingia kwa dredi
Dredi itaingia kwa supu ya chapo
Niko na ma nguai kama el chapo
Ama dooh kama el chapo
Utamaliza chapo ngapi
Unamaliza chapo ngapi
Utakula chapo ngapi
Chapo utakula ni ngapi
Unamaliza chapo ngapi
Chapo utakula ngapi
Chapo unafyeka ngapi
Chapo chapo chapo




Lilmaina - Unamaliza Chapo Ngapi - Single
Album Unamaliza Chapo Ngapi - Single
date of release
27-10-2020




Attention! Feel free to leave feedback.