Linah - Lonely Lyrics

Lyrics Lonely - Linah



Najua bado kam umelala
Nauwezi amkaaa
Ila kufumba kwako macho
Kucnfanye nami nikufumbe
Kwenye moyo wanguuu
Furaha yangu mm kulia
Mpka nahc dunian kama naonewa
Am single ladya nimebakia
Yule nilio mpenda kachukuliwa
Lonely lonely nimebakia
Nusu ya moyo wangu imetolewa
Muda wote mpweke huku nalia
Mpka nhc namkufuru mungu
Mwenye duniaa
Aaaaaaah
Nililia machozi nilipoambiwa
Haupo na mie,,,
Malaika naomba cmama
Mpokee nammshangilieee
Nimezongwa naupweke
Unaofanya nikukumbukeeee
Picha yako uson
Inanifanya chozi linitokeee
Mmmmmmh
Mmmmmmmh
Mmmmmh
Mmmmmmh
Nashindwa kulala
Haja ya moyo wangu naijua
Machoz hayanish
Homa ya mapenz naugua



Writer(s): Linah


Linah - Atatamani
Album Atatamani
date of release
24-04-2011




Attention! Feel free to leave feedback.