Lulu Diva - Homa Lyrics

Lyrics Homa - Lulu Diva



Kama nyota imefifia nipelekeni me buyuni nikapigwe hata msasa eeh
Dunia daah inadidimia nakutamani kitanzi mimi {heya heya×2} kupenda
Najua ila kuchagua ndonapokoseaah shida kutatua ndopata poteaaah japo
Kali jua bado nangojeaah wapi kapakua wapi nimpate wanapanda na
Kushuka kama daladala kila napogusa pamoto me wa danadana situlizwi
KIITIKIO
Nahisi homa homa
Napata homa homa×2
(Choices)
Upweke baridi mambo mazito nakosa hata pakwegemea homa ni kijiko,
Kasheshe majonzi huwaga mapito cha ajabu kwangu yame ng'ang'ania,
Kupenda najua ila kuchagua ndonapokoseaah shida kutatua ndopata
Poteaaah japo kali jua bado nangojeaah wapi kapakua wapi nimpate
Wanapanda na kushuka kama daladala kila
Napogusa pamoto me wa danadana situlizwi
KIITIKIO
Naisi homa homa
Napata homa homa×2



Writer(s): Lulu Abbas


Lulu Diva - Homa
Album Homa
date of release
18-03-2018

1 Homa




Attention! Feel free to leave feedback.