Lyrics Ona - Rich Mavoko , Lulu Diva
Moyo
si
ungebaki
nao,
nifanye
kivuli
Ruksa
tu
nichote
nyayo,
unifunge
nitulie
tuli
(Ooh)
Mwa
fulani
anauliza
umenipa
nini
(Ooh)
Kwa
udi
na
ubani
nimekula
ya
mimi
Wanaonitamani
wapo
(aah)
ila
sijaona
Nakupenda
peke
yako
(maana)
mapenzi
nimekoma
Kama
kipofu
mi
sioni
Uchungu
wa
mapenzi
unakaba
koo
Usitukane
mamba
mtoni
Umenipa
yote
naomba
poo
(baby)
Ona
sasa
ona,
ona
sasa
ona
Ona
sasa
ona,
ona
sasa
ona
Ona
sasa
ona,
ona
sasa
ona
I
swear
believe
me
girl
Umenikata
kichwa
nimebaki
kiwiliwili
Niongeze
ulichonipa
Kita
kwa
mshipa
utibuwe
makili
kili
Mpaka
juu
wananing′inia
Ukirudi
chini
nadidimia
Usinipe
penzi
makinikia
Mi
kwako
nishaoza
nishajifia
Nimekuwa
mlevi
wa
penzi
lako
ongeza
nilewe
Mwambie
mganga
wako
kaniweza
kwa
kwe(li)
Sioni
maneno
ya
watu
kwangu
kama
choo
Mtoto
kama
chumvi
jikoni
Nilipokuonja
nikaomba
pooo
Ona
sasa
ona,
ona
sasa
ona
Ona
sasa
ona,
ona
sasa
ona
Ona
sasa
ona,
ona
sasa
ona
I
say
babe
simamia
(kidede)
Tena
ng'ang′ania
(kidede)
Vyote
nabugia
(kidede)
Huku
naugulia
(kidede)
Nipe
hata
kimoja
(kidede)
Nisamimie
ukucha
(kidede)
Mtamu
kama
embe
za
kibada
(kidede)
Mbuzi
kafa
kwa
bucha
(kidede)
Attention! Feel free to leave feedback.