Lulu Diva - Hauna Maajabu Lyrics

Lyrics Hauna Maajabu - Lulu Diva



Unatutambia wakati shemeji yetu anatuambia
Hauna maajabu!
Unataka bia wakikutoa out unasinzia
Hauna maajabu!
Tulishabwaganaga lakini bado unaniongelea
Hauna maajabu!
Unagandaganda watu kama series za kikorea
Hauna maajabu!
Hauna maajabu mama, hauna maajabu
Hauna maajabu!
Hauna maajabu baba eh, hauna maajabu
Hauna maajabu!
Hauna ba-ba-ba-ba-ba-ba-ba, hauna maajabu
Hauna maajabu!
Hauna maajabu eeh, hauna maajabu
Hauna maajabu!
Miuno mingi ukiwa klabu ukirudi ndani
Hauna maajabu!
Dada wa mjini kutwa unadanga unalala chini
Hauna maajabu!
Nawe jomba unapewa bure kufika magetoni
Hauna maajabu!
Noma sana bebe kaagiza kucheki mfukoni
Hauna maajabu!
Hauna maajabu mama, hauna maajabu
Hauna maajabu!
Hauna maajabu baba eh, hauna maajabu
Hauna maajabu!
Hauna ba-ba-ba-ba-ba-ba-ba, hauna maajabu
Hauna maajabu!
Hauna maajabu eeh, hauna maajabu
Hauna maajabu!
Pisi kali una sera nzuri ukigeuka nyuma
Hauna maajabu!
Huna hela unashinda gym kubeba mavyuma
Hauna maajabu!
Hauwezi kuposti bila filta coz unajijua
Hauna maajabu!
Wakikudosoa wanapita si wanakujua
Hauna maajabu!
Hauna maajabu mama, hauna maajabu
Hauna maajabu!
Hauna maajabu baba eh, hauna maajabu
Hauna maajabu!
Hauna ba-ba-ba-ba-ba-ba-ba, hauna maajabu
Hauna maajabu!
Hauna maajabu eeh, hauna maajabu
Hauna maajabu!
Hauna maajabu!
Hauna maajabu!
Hauna maajabu!
Hauna maajabu!



Writer(s): Lulu Diva


Lulu Diva - Hauna Maajabu
Album Hauna Maajabu
date of release
30-11-2020




Attention! Feel free to leave feedback.