Lyrics Usimwache - Lulu Diva
Usimwache
hata
kwa
utani
utani
×2
Nilshawahi
kuwa
nae,
nika
achana
nae
Nikaja
juta
baadae,
Wapendanao
wakitengana
usishangae,
Nangoja
akuchumbie
(Ayaya×2),
Na
kadi
anipatie,
Harusi
niuzulieee
(ayaya×2),
Nibebe
zawadi
na
mie
(ayaya×2)
Usimwache
hata
kwa
utani
utani×4
Attention! Feel free to leave feedback.