M.O.G. - My Call Lyrics

Lyrics My Call - M.O.G.

Nilipata barua kutoka kwa mama
Anasema nitume mgwanja
Anasema baba mlevi tena sana amekuwa kicheko cha majarani
Na anataka nitume pesa
Anataka nitume haraka maanake mashida zinawabana
Mama natafuta tafuta tafuta mwambie mwambie mwambie
Mama natafuta tafuta tafuta mwambie mwambie mwambie
Yeah mwambie mwambie mwambie natafuta natafuta
Mwambie mwambie mwambie natafuta natafuta mama
Mwambie mwambie mwambie natafuta natafuta
Niliskia umepata barua kutoka kwa mama
Ikisema kuhusu shida nyumbani inavyowakumba eeh
Kama ni pesa wasakanya kama ni mradi we sukuma bora usimlenge mama eeh
Kama ni pesa wasakanya kama ni mradi we sukuma nyumbani anakungoja mama
Aisee dasta piga mlango linda randa piga ata kama ni kugumu yote kazi mradi nyumbani upeleke pesa.
Nitakupa kidogo nibaki na kidogo siku nazo 'songe mdogo mdogo usiende mbali
Nitakupa kidogo nibaki na kidogo siku nazo 'songe mdogo mdogo usiende mbali
Mwambie mwambie mwambie natafuta natafuta
Mwambie mwambie mwambie natafuta natafuta mama
Mwambie mwambie mwambie natafuta natafuta
Nyumbani wanalia lia aahhh huku wewe watafuta brother
Nyumbani wanalia lia aahhh huku wewe watafuta brother
Nitakupa kidogo wabaki na kidogo siku nazo 'songe mdogo mdogo usijali mama
Mwambie mwambie mwambie natafuta natafuta yeah
Mwambie mwambie mwambie natafuta natafuta mama
(Usijali wewe mama anatafuta)
Mwambie mwambie mwambie natafuta natafuta
(Usijikalie we mama anakuombea we)
Usijali we mama anatafuta we

M.O.G. - My Call
Album My Call
date of release
30-11-2014

Attention! Feel free to leave feedback.