Masauti - Ipepete Lyrics

Lyrics Ipepete - Masauti



Ipepete ipepete
Ipepete ipepete (ipe)
Ipepete ipepete (pepete) Ipe...
Masauti
Kenyan Boy 001
Kiuno bila mfupa, unavyokata
Malkia Fally Ipupa, kwako me nimedata
Sura changa changa, ngozi ya cocoa butter
Shepu mdoli si ya zanga, yaani swadakta
Wangu moyo utaupeleka puta
Kama nitakukosa
Sinora mi amor my mamacita
Songa karibu come closer
Katoto bisi kuthi kuthi (Ale)
Mathwiti thwiti
Kamejazia kati kati (Ale)
Yaani thicki thicki
Kalivyo katamu yaani keki keki (Ale)
Mathwiti thwiti
Speed mia mi sifungi breki (Ale)
Tuki jigi jigi
We mama
Ipepete ipepe ipepete
Ipepete ukiinama
Ipepete ipepe ipepete
Ai we mama
Ipepete ipepe ipepete
Ipepete ukichutama
Ipepete ipepe ipepete
Kenyan boy, Kenyan boy here
Ipepete ipepete (ipepete)
Ipepete ipepete (aaah)
Ipepete ipepete (ipepete)
Ipepete ipepete (mama)
Nitakufikisha hadi unapotaka
Basi ongeza manjonjo
Leo taratibu mi sinanga haraka
Mpaka majogooo
I love the way girl you call me daddy
You turn me on ooh ooh ooh
Fundi wako wa mapenzi chumbani
Mandingo ndigo ooh ooh ooh
Nigongelee ka msumari
Kwa nyundo ya komeo ooh ooh ooh
Nizungushie kaa usukani
Drive me, drive me local oooh
Katoto bisi kuthi kuthi (Ale)
Mathwiti thwiti
Kamejazia kati kati (Ale)
Yaani thicki thicki
Kalivyo katamu yaani keki keki (Ale)
Mathwiti thwiti
Speed mia misifungi breki (Ale)
Tuki jigi jigi
We mama
Ipepete ipepe ipepete
Ipepete ukiinama
Ipepete ipepe ipepete
Ai we mama
Ipepete ipepe ipepete
Ipepete ukichutama
Ipepete ipepe ipepete
Kenyan boy, Kenyan boy here
Ipepete ipepete (ipepete)
Ipepete ipepete (aaah)
Ipepete ipepete (ipepete)
Ipepete ipepete (eeeh mama)
Ah katika katika na hii ngoma noma
Na hii ngoma noma
Ah katika katika na hii ngoma noma
Na hii ngoma noma
Ah katika katika na hii ngoma noma
Mama ipepete, na hii ngoma noma
Ah katika katika na hii ngoma noma
Ipepete, na hii ngoma noma
We mama
Ipepete ipepe ipepete
Ipepete ipepe ipepete
Ipepete ipepe ipepete
Ipepete ipepe ipepete



Writer(s): Morris Kobia Lyria


Masauti - Ipepete
Album Ipepete
date of release
06-05-2019




Attention! Feel free to leave feedback.