Lyrics Katu Katu - Maua Sama
Uuuh...!
uuuh.!
Hitaji
la
moyo
nifanye
nn
kwako
ili
nitimize
Kwa
penzi
la
uchoyo
uclipende
na
bado
nafsi
ikupenge
(ooh!
baby)
Kama
umeshachoshwa
nami
nambie
(he
he
he)
Kuliko
kunifanya
mapenzi
nichukie(he
he
he)
Nicpende
mwingine
mapenzi
nijutie
(he
he
he)
Kuhofia
ya
leo
yacjirudie
(he
he
hheeee.)
Katukatu
katukatu
katukatukatu...
2(penzi
hili
ni
katu)
Oooh!
baby
penzi
umelitia
doa,
na
kama
n
jazba
Sawa
nabidi
kukosoa
na
shindwa
roho
kwa
haya
mateso
nikidharau
itakuwa
kamchezo
hunidanganye
kumbe
unipendi
bwana
aaaaah!
Kama
umeshachoshwa
nami
nambie
(he
he
he)
Kuliko
kunifanya
mapenzi
nijutie
(he
he
he)
Nicpende
mwingine
mapenzi
nijutie
(he
he
he)
Kuhofia
ya
leo
yacnirudie
yeyeeeee...!
Ckuamini
tena
katukatukatu
katukatukatu
(penzi
hili
ni
katu
eeh)2
Kama
umeshachoshwa
nami
niambie
(he
he
he)
Kuliko
kunifanya
mapenzi
nijutie
(he
he
he)
Nicpende
mwingine
mapenzi
nijutie
(he
he
he)
Kuhofia
ya
leo
yacnirudie
yeyeeeeeee!
Ckwamini
tena
katukatu
katukatu
(penzi
hili
ni
katu)2
Attention! Feel free to leave feedback.