Maua Sama - Nakuelewa Lyrics

Lyrics Nakuelewa - Maua Sama



Oh oh yeah yeah
Oh yeah yeah
Siwezi ficha jungu li la kaya
Siri yanifukuta vibaya
Mi tapatapa nimelowa ile mbaya
Nyakanyaka moyo ume-desire
Oooh! Nikikupa moyo basi usiulize
Na kama ukinipa kweli usiniigize
Baki nami kwenye mwanga na giza
Usinipimie penzi ukinibamiza
Mwenzako nakuelewa
Oou oo eeeee(Nakuelewa)
Ooou eeeee(Mwenzako nakuelewa)
Heeey oo eeeee(Nakuelewa)
Ooou eeeee
Ukiweza kunifanya nisijejutia
Ni thamani zaidi ya gari
Ukiweza penzi letu kulipalilia
Utamu na raha darling
Darling, Darling (oooo nananaaaa)
Hey baby baby (oooo nananaaaa)eeeh
Hizo mboni kama umenita
Kidari ulivyochanika
Hisia umezifunika
Umeninogea
Ooooh nikikupa moyo basi usiulize
Ei na kama ukinipa kweli usiniigize
Oouh baki nami kwenye mwanga na giza
Usinipimie penzi ukinibamiza
Mwenzako nakuelewa
Ooooh oooh yeee(nakuelewa)
Ou yei ye yeeeee
(Mwenzako nakuelewa)
Hey o yee eeei(nakuelewa)
Heeeeey yeyeye ah
Mwenzako nakuelewa
Nakuelewa
Mwenzako nakuelewa
Nakuelewa
Oou nikikupa moyo basi usiulize
Ei na kama ukinipa kweli usinigize
Habaaa!



Writer(s): Marioo Tz


Maua Sama - Nakuelewa
Album Nakuelewa
date of release
06-02-2018




Attention! Feel free to leave feedback.