Mbosso - Nipepee Lyrics

Lyrics Nipepee - Mbosso



Hewallah
Mungu kanipa nilichomuomba
Mashallah
Raha
Na wala
Si shriki huba tulimenisomba
Nala nalala
Jamani rahaa
Ntakulinda kwa kunuti
Nitapigana jihadi
Pendo liwe madhubuti
Wasiingie waganga,
Wapambe vigurushuti
Wape chai kwenye jagi
Yetu tamu biscuit
Wasitie mchanga
Penzi letu basikeli kaa bomba la mbele
Pia, ulipige mabusu
Liwachome kwelikweli wenye viherehere
Pia, wakome yasowahusu
Baby zima feni (Nipepee)
Nimeleta kipepeo unipepee
Leo zima feni (Nipepee)
Nimeleta kipepeo unipepee
Zima niyoyozi (Nipepee)
Nimeleta kipepeo unipepee
Zima feni (Nipepee)
Nimeleta kipepeo unipepee
Tuoge ya vuguvugu
Maji ya baridi siyawezi
Si unanijua
Nnaugonjwa wakutetemeka
Nisugue sugusugu
Ongeza zaidi kunienzi
Kuneng'emua
Kwa ngonja pita njopeka
Fanya nizidi nkupende
Niwe wapeke yako daima
Iwe bigwa mwalusembe
Shamba langu lako nalima
Huba tufunge ngengenge
Tuwape na viapo karma
Ili wakupiga denge
Tamu pendo wasitie sumu
Penzi letu baiskeli kaa bomba la mbele
Pia, ulipige mabusu
Liwachome kweli kweli wenye viherehere
Pia wakome yasowahusu
Baby zima feni (Nipepee)
Nimeleta kipepeo unipepee
Leo zima feni (Nipepee)
Nimeleta Kipepeo Unipepee
Zima kiyoyozi (Nipepee)
Nimeleta kipepeo Unipepee
Zima feni (Nipepee)
Nimeleta kipepeo unipepee
Ntakulinda kwa kunuti
Nitapigana jihadi
Pendo liwe madhubuti
Wasiingie waganga,



Writer(s): Mbosso


Mbosso - Nipepee - Single
Album Nipepee - Single
date of release
30-07-2018




Attention! Feel free to leave feedback.