Lyrics Pawa - Mbosso
(S2kizzy
Baby)
Kamusi
namaliza
kurasa
kukusifia
Matusi
naiona
Basata
wakinifungia
Theluthi
hizi
raha
nazopata
me
I
feel
mia,
ah
Mjusi
ukuta
wa
plasta
nauparamia
Na
kama
penzi
ni
chupa
la
bia
Nipe
sana
niwe
mlevi
niyumbe
yumbe
njia
Kwa
maana
we
mlezi
na
unanijulia
Hawana
hawawezi
pakukuibia
dear
Power,
power,
naishiwa
power
Penzi
lako
mizani
mizito
naishiwa
power
(Pawa,
pawa
naishiwa
power)
(Penzi
lako
mizani
mizito
naishiwa
power)
Power,
power,
power,
naishiwa
power
Penzi
lako
mizani
mizito
naishiwa
power
(Power,
power,
naishiwa
power)
(Penzi
lako
mizani
mizito
naishiwa
power)
Nilifeli
secondary
sikwendaga
chuo
Ila
kufeli
penzi
lako
sina
hilo
chaguo
Yeremia
mstari
ni
funue
ufunuo,
oh
Nikupambe
kwa
matari
mwilini
iwe
nguo
Na
kama
penzi
ni
chupa
la
bia
Nipe
sana
niwe
mlevi
niyumbe
yumbe
njia
Kwa
maana
we
mlezi
na
unanijulia
Hawana
hawawezi
pakukuibia
dear
Power,
power
naishiwa
power
Penzi
lako
mizani
mizito
naishiwa
power
(Power,
power
naishiwa
power)
(Penzi
lako
mizani
mizito
naishiwa
power)
Power,
power,
power
naishiwa
power
Penzi
lako
mizani
mizito
naishiwa
power
Power,
power,
naishiwa
power
Penzi
lako
mizani
mizito
naishiwa
power
(Kamix
Lizer)
Attention! Feel free to leave feedback.