Lyrics Tamba - Mbosso
Pasha
maji
weka
moto
Tandika
jamvi
naja
nyumbani
Nimekuletea
zawadi
Kijora
cha
mkopo
Futa
la
nazi
ujipare
honey
Na
vijisabuni
vya
magadi
Nguru
usimtoe
chumvi
ndio
ladha
yake
Muunge
tu
nipe
na
chuzi
na
nyama
yake
Eeh
kula
ya
mbuzi
ni
kamba
yake
Ye
king'amuzi
ni
dishi
lake
Fungeni
maturubai
(Mkeshe
mkisema)
Wala
hamtupi
shida
(Mkeshe
mkisema)
Ndo
kwanza
tunajidai
(Mkeshe
mkisema)
Kama
afisa
wa
nida
ooh
Tena
daktari
nimekuja
na
tiba
sindano
(Leta
nichomeke)
Chunga
kibinda
mwali
napita
kwenye
mabano
(Leta
nichomeke)
Nipo
ngangari
tayari
kwa
mapambano
(Leta
nichomeke)
Chanya
kagusa
hasi
leo
mambo
msuguano
(Leta
nichomeke)
Tamba
Tamba!
Nakupa
uwanja
tamba
Tamba
Tamba!
Warushe
warushike
roho
zao
Tamba
Tamba!
Wasokujua
wakujuwe
leo
Tamba
Tamba!
Tamba
mama
nao
Nitalinda
benki
kwa
rungu
niaminie
Nikitaka
langu
mwana
uvungu
nainama
mie
Wavunje
nazi
na
nyungu
wajifushie
Ooh
moyo
wangu
atulinde
mungu
yasitufikie
Nilishakumbwa
na
tsunami
Na
mapenzi
nikalia
nina
amani
kwako
sasa
Penzi
si
la
unyang'anyi
pekee
yangu
najilia
Nashiba
na
kusaza
Na
ka
TV
kangu
kanawaka
kuzima
(Nikupe)
Na
kasimu
kangu
japo
ka
mchina
(Nikupe)
Shika
na
moyo
wangu
nenda
nao
mazima
(Nikupe)
Tuzaliwa
Mecca
tufie
Madina
(Nikupe)
Fungeni
maturubai
(Mkeshe
mkisema)
Wala
hamtupi
shida
(Mkeshe
mkisema)
Ndo
kwanza
tunajidai
(Mkeshe
mkisema)
Kama
afisa
wa
nida
ooh
Tena
daktari
nimekuja
na
tiba
sindano
(Leta
nichomeke)
Chunga
kibinda
mwali
napita
kwenye
mabano
(Leta
nichomeke)
Nipo
ngangari
tayari
kwa
mapambano
(Leta
nichomeke)
Chanya
kagusa
hasi
leo
mambo
msuguano
(Leta
nichomeke)
Tamba
Tamba!
Nakupa
uwanja
tamba
Tamba
Tamba!
Warushe
warushike
roho
zao
Tamba
Tamba!
Wasokujua
wakujuwe
leo
Tamba
Tamba!
Tamba
mama
nao
Nishalinoa
panga
porini
kukata
muwa
Mwana
kaza
kitanda
usiku
kuneng'emuwa
Nishalinoa
panga
porini
kukata
muwa
Mwana
kaza
kitanda
usiku
kuneng'emuwa
Lalalala...
lalalala
Attention! Feel free to leave feedback.