Lyrics Umechelewa - Mbosso
Ulikuwa
wapi
wakati
nalia
lia
na
mapenzi
Ulikuwa
wapi
wakati
silali
nakosa
usingizi
Ulikuwa
wapi
wakati
nashindwa
kula
chakula
Ulikuwa
wapi
mbona
umechelewa
Mbona
umechelewa
mbona
umechelewa
Mbona
umechelewa
mbona
umechelewa
Nilipelekwa
puta
sikubembelezwa
kupewa
hadhi
Nikala
vya
mafuta
wakati
mi
hadhi
yangu
ya
nazi
Kumbe
hata
kitandani
nilipaswa
kupandishwa
Hata
kula
mwiko
yaani
mi
nilipaswa
kulishwa
Kwa
urefu
wa
mkono
gani
mgongo
kujisugulisha
Mengine
mapya
ya
chumbani
oya
we
umenifundisha
Mbona
Mbona
umechelewa
Mbona
umechelewa
Kijiti
eeeh
kijiti
ooh
kijiti
Kakishikashika
kimemchoma
kijiti
kimemtoboa
Kijiti
eeeh
kijiti
Kakishikashika
kimemchoma
kijiti
Kama
midomo
chongeo
kachongeni
penseli
Mambo
ya
kwenye
video
si
tunayafanya
kweli
Kijiti
eeeh
kijiti
Kakishikashika
kimemchoma
kijiti
Unataka
embe
dodo
ya
nini
urushe
kote
Tingisha
mti
kidogo
chini
utaziokota
eeeh
Kijiti
eeeh
kijiti
Kakishikashika
kimemchoma
kijiti
Wa
mdondo
wa
mdondo
huyo
kuku
wa
madoa
Kamaliza
mikorogo
ngozi
kujikoboa
Kijiti
eeeh
kijiti
Kakishikashika
kimemchoma
kijiti
Uuuh
mwafulani
mwisho
wako
barazani
Mwafulani
ushoga
wa
zamani
kuyajua
ya
chumbani
Kijiti
eeeh
kijiti
Kakishikashika
kimemchoma
kijiti
Odo
Odo
wangu
oooh
Odo
Nikidondoka
unibebe
Odo
Odoo
Odo
Attention! Feel free to leave feedback.