Michael Magow - Bagamoyo Lyrics

Lyrics Bagamoyo - Michael Magow



Ah, ah, ah
Ah, ah, ah
Ah, ah, ah
Washa, nyonga, vuta
Ah, ah, ah
Washa, nyonga, vuta
Cha bagamoyo
Kitu cha bagamoyo
Kitu cha bagamoyo kitu kweli ni soo
Kitu huwezi vuta uta bro
Hichi kitu soo kitu kitam, kitu kitam, oh no
Kitu flani amazing
Nahitaji vitu kama hivi
Mi ni kila, mi na waka, mi na jihisi nipo high
Kitu cha bagamoyo (oouh)
Ah, ah, ah
Washa, nyonga, vuta
Ah, ah, ah
Washa, nyonga, vuta
Cha bagamoyo
Kitu cha bagamoyo
Kitu flani ni safi
Kitu purple sio kaki
Sometime black and white
Kina kufanya unakua happy
Kina thamani zaidi ya laki
Kitu clean hakina makapi
Kitu flani cha ma rasi
Kila mtaa kitu kitu kinawaka
Kila masaa watu wana viwasha
Kitu kinanipeleka higher
Wanasema mi nipo on fire
Kinanipeleka higher
Wanasema mi nipo on fire
Ah, ah, ah
Cha bagamoyo
Ah, ah, ah
Kitu cha bagamoyo
Ah, ah, ah
Cha bagamoyo
Ah, ah, ah
Kitu cha bagamoyo
Washa, nyonga, vuta
Washa, nyonga, vuta
Cha bagamoyo
Kitu cha bagamoyo



Writer(s): Michael Magori


Michael Magow - Bagamoyo
Album Bagamoyo
date of release
02-04-2019



Attention! Feel free to leave feedback.