Michael Magow - Kubababae Lyrics

Lyrics Kubababae - Michael Magow



Sitakiwi kusahau
Unajua unasahau kitu ambacho hutakiwi
Vitu ambavyo sitakiwi kufanya baadae
Kubababae
Nicheki baadae
Nipo na chai
Nipo na chai
Uh uh
Sipo society
Cheki society
Cheki zuzu
Don't forget majuu
Juu kwa juu
We kubababae
Ncheki baadae
Sippin tea
Sip hiyo chai
Mi niko juu
Mi niko wooh
Mi niko high
Mi niko high
Kubabayae
Ncheki baadae
Mi na furahi
Look at my city
Cheki my flu
Cheki my cap
Cheki my shirt
Cheki my dred
Ouh eeh
Kubababae
Ncheki baadae
Cheki my city
Cheki my city
Tuko na feed
Niko na feed Eq
Niko na FidQ
Niko na feed hii Kiu
Wooh
Kubababae
Ncheki baadae
Tuna ma furaha eh
Tuna ma happy eh eh
Whole day
All day
All day
All day
Uh uh
Pata pesa nditto
Niko pick a signal
Wait a second Titto
I swear she widow
Kubababae
Ncheki baadae
Ncheki baadae
Ncheki baadae
Dae dae
Kubababae



Writer(s): Michael Magori


Michael Magow - Kubababae
Album Kubababae
date of release
15-09-2018



Attention! Feel free to leave feedback.