Moni Centrozone - Mtiti Lyrics

Lyrics Mtiti - Moni Centrozone



Na jicho lako la kungu nitazame mimi Ningekuwa Maxi ningekuwa Air
Themanini Umenifanya mi famili Mbeya ndani
Ya fungwa boxer Mwambie shangazi naleta kosa
Penzi lako la moto eeh La moto eeh Penzi lako la moto eeh La moto eeh
Wapenzi wawili tukiwa chumbani Wote wakinitenga nimpende nani?
Naskia mjomba wako kakutafuta kukuweka ndani Licha ya kufuga mbwa,
Kanunua na gun Sa nacheza kabati, mbwa wanaopiga -- Beiby piga kabati,
Ikibidi twende town trip Utazunguka mpaka upate,
Wanaume tuko wachache Wa kukupa kodi ya meza, na kununua mkate Aah.
Nimba la kati nakaza, kangoma kati Tangu sichana la wana,
Makwenu kwani? Tukichoka msosi,
Mi faraghani Kisha mamba visosi na ako orodhani
(Hook)
Oyaa, madem wa mjini hawako loyal Oyaa,
Wakihongwa sio wachoyo Oyaa,
Ma brother men hawako loyal Wamemfanya Vanessa akaua moyo Na
Jicho lako la kungu nitazame mimi Ningekuwa Maxi ningekuwa Air
Themanini Umenifanya mi famili Mbeya ndani
Ya fungwa boxer Mwambie shangazi naleta kosa
Penzi lako la moto eeh La moto eeh Penzi lako la moto eeh La moto eeh
Usiulize kuhusu chanda She got it from my mama Usiulize kuhusu anga
Texas sio Alabama Wakihisi kuwa ni danga,
Ushalitupa toka zama Wakipima kwenye bamba,
Mabegi kama unahama Achana na mawaster,
Watakutesa wako real Ja-Japo mimi gangster,
Sina presha nikufeel Ukiona nazebenza,
Ujue nasaka meal Kuliko kosa pesa, bora nisake deal Penzi safari,
Usiende stendi, nipe moyo wako mpenzi Usionyeshe umenikariri kwenye
Ushenzi Ficha cheshi weka pending,
Kwenye kisaka chenji I can, I will, I must ka Doctor Mengi
(Hook)
Oyaa, madem wa mjini hawako loyal Oyaa, wakihongwa sio wachoyo Oyaa,
Ma brother men hawako loyal Wamemfanya Vanessa akaua moyo Na jicho
Lako la kungu nitazame mimi Ningekuwa Maxi ningekuwa Air themanini
Umenifanya mi famili Mbeya ndani ya
Fungwa boxer Mwambie shangazi naleta kosa
Penzi lako la moto eeh La moto eeh Penzi lako la moto eeh La moto eeh



Writer(s): moni centrozone


Moni Centrozone - Mtiti
Album Mtiti
date of release
15-04-2019

1 Mtiti




Attention! Feel free to leave feedback.