Lyrics Blue (feat. Nandy) - Mr. Blue
Instrunmental
B.L.U.E
B.L.U.E
Mpenzi
nipe
karasi
niandike
hizi
habari,
Habari
za
maisha
ya
Game,maisha
yote
ya
safari.
Maisha
ya
hatari,
maisha
ya
shari,piga
kabali
Leo
ntasema
mengi,litatosha
hili
Daftari.
Asubuhi
kumekucha
najikuta
kwenye
Music,gain
or
learn
hakuna
tena
pa
ku
luzi.
Rada
line
kila
engo,nasimama
ka
Nyerere
nikifa
huzibi
pengo.
Dady
ananiita
malengo,Mdogo
ki
umbo
akili
kama
Tembo.
Beazy
Babylon
Bengo,Msudan
na
Mzaramo
kichwani
ni
sifa
Lengo.
Kumi
na
tatu
ni
miaka
yote
nipo
kwenye
gemu,
Siniulize
ninavyokula
raha,uliza
pia
msoto,
So
kunikuta
kwenye
starehe
na
mademu
Unanifata
alafu
unaniuliza
habari
za
changamoto?
Gemu
nilianza
mtoto,leo
nna
watoto,
Mi
ni
mtoto
nilifanya
watoto
wajue
soko.
Kama
sifa
zangu
zipo
hamtozungumzia
Ntatulia,mwanaume
hashindani
na
sidira.
B.L.U.E
(Say
my
name,say
my
name
gal)
B.L.U.E
(Beazy
Babylon,
Beazy
Babylon)
B.L.U.E
(Beazy
Babylon,
Beazy
Babylon
yeeeh
eeh
eeh)
B.L.U.E
Eeh
eyeeeeh
Herisamy
Rajab
nambari
moja
shule,
Sikuamini
ka
masomo
niliyatupa
kule,
ahsante
Mola
kwa
Music,
Mama
kula
tule,
Promota
mkwanja
kwanza,
Show
sifanyi
bure.
Kwa
pamba
za
Blue
blue
masista
duu
wakanikiss
kiss.
Shusha
tabasamu
kama
umenimiss
miss,
Tuko
pamoja
uswazi
na
mboga
saba,
Usipocheza
Mapozi
ataicheza
Mama
na
Baba,
Mkiwa
club
si
mnalewa
Tilalila,
Na
rolemodel
wenu
si
ni
Babylon
kila(Babylon
kilaaa)
Msijivunge
semeni
uso
kwa
uso,unaogopa
ajari
ya
bodaboda
na
fuso.
Fanya
biznez
dada
huwezi
vagi,ulinzi
uko
salama
cheki
tagi.
Kama
sifa
zipo
na
hamtaki
kuzungumzia
Nitatulia,
mwanaume
hashindani
na
sidiria
wooh.
Mapozi
na
wee,
We
na
mapozi
na
wee.
Mapozi
na
weee,
We
na
mapozi
na
wee
Mapozi
na
wee,
We
na
mapozi
a
wee
Mapozi
na
weee(aaah
ah
aaah)
B.L.U.E
(Say
my
name,say
my
name
gal)
B.L.U.E
(Bizy
Babylon,
beazy
Babylon)
B.L.U.E
(Say
my
name)
(Bizy
Babylooon
yeah
eeeeh)
B.L.U.E
Bizy
Babylon,
Bizy
Babylon
am
like.
Bizy
Babylon,Bizy
Babylon
wooh
(I
go
by
the
name)
B.L.U.E
Eeeh
B.L.U.E
Bizy
Babylon,
bizy
Babylon
am
like,
Bizy
Babylon,
bizy
Babylon...
I
go
by
the
name...
Attention! Feel free to leave feedback.