Lyrics Gwara Gwara - Mr Seed
Nasema
Gospel
lazima
iende
viral
Tukidance
gwara
gwara
now
you
know
Tanzania
kenya
na
congo
Jina
la
yesu
litafika
everywhere
Kunja
mguu
enda
chini
mpaka
chini
Ni
yesu
tu
ndio
si
tunaamini
Mikono
juu
nakwambia
weka
juu
Jina
la
yesu
litafika
everywhere
Tuna
gwara
gwara
Tunadancia
yesu
Gwara
gwara
Hakuna
kama
yesu
Gwara
gwara
Tunadancia
yesu
Gwara
gwara
Hakuna
kama
yesu
Everyday
tuna
step
on
the
enemy
Step
on
the
enemy
Ati
tuna
step
on
the
enemy
Step
on
the
enemy
Wanasema
gospel
si
ya
wajanja
Wakristo
na
mashida
wana
majanga
Shetani
tunamzika
hii
ni
matanga
Na
nguvu
ni
za
yesu
si
za
waganga
Kunja
mguu
enda
chini
mpaka
chini
Ni
yesu
tu
ndio
si
tunaamini
Mikono
juu
nakwaambia
eka
juu
Jina
la
yesu
litafika
everywhere
Tuna
gwara
gwara
Tunadancia
yesu
Tunagwara
gwara
Hakuna
kama
yesu
Tuna
gwara
gwara
Tunadancia
yesu
Tuna
gwara
gwara
Hakuna
kama
yesu
Gwara
gwara
Tunamsifu
na
different
style
Kwa
makofi
na
kucheza
Weka
shida
chini
anaweza
Si
unajua
anapendeza
Wanasema
gospel
si
ya
wajanja
Wakristo
na
mashida
wana
majanga
Shetani
tunamzika
hii
ni
matanga
Na
nguvu
ni
za
yesu
si
za
waganga
Kunja
mguu
enda
chini
mpaka
chini
Mikono
juu
nakwaambia
eka
juu
Jina
la
yesu
litafika
everywhere
Tuna
gwara
gwara
Tunadancia
yesu
Tunagwara
gwara
Hakuna
kama
yesu
Tunagwara
gwara
Tunagwara
gwara
![Mr Seed - Gwara Gwara - Single](https://pic.Lyrhub.com/img/f/t/p/w/mpNomOwpTf.jpg)
Attention! Feel free to leave feedback.